Uliza swali lolote kuhusu Mzumbe, wahenga tutakujibu

Uliza swali lolote kuhusu Mzumbe, wahenga tutakujibu

Bila Kumsahau Hon. Samia Suluhu
Ni Product Ya Hapo MU.
Kuna Binti Wa Zitto Kabwe Naye
Sijua Kashamaliza Alikuwa Kivutio.
Pia Yule Video Queen Wa Izzo Bizness Kwenye Wimbo "Wa Love Me" Nilibahatika Kumuona Kipindi Anasoma Sheria. Nae Alikuwa Gumzo.
 
Mkuuu Mimi Nina diploma ya records management nataka nichukue degree ya public administration and health management naweza pata Nina GPA ya 3.4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habarini zenu, sitaki kuwachosha na salamu nyingi naenda moja kwa moja kwenye topic yetu
Kama una swali lolote kuhusu chuo kikuu cha mzumbe uliza kwenye huu Uzi na wahenga wa mzumbe tutakujibu wahenga mojawapo ni Mimi cendy, Daby, the bold na wengine
Kiufupi mzumbe main campus iko morogoro takiribani kilometers 23 kutoka morogoro mjini ipo wilaya ya mvomelo
Mzumbe ina schools mbili, institute moja na faculties ikiwemo faculty of law, fss, fst
Mzumbe ina course nzuri sana inayoitwa bachelor of science in health system and management ambayo ndio course inayochukua watu wa art na mkopo ni compulsory
Kwa taarifa zaidi ingia www.mzumbeuniversity.ac.tz
47d6a85c0fb685d6e508f623e29d20c2.jpg


the great
Samahan mdau unaweza orodhesha kozi za hapo mzumbe
 
Mkuuu Mimi Nina diploma ya records management nataka nichukue degree ya public administration and health management naweza pata Nina GPA ya 3.4

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh kwanza sio public administration and health system ni bsc in health system and management

the great
 
Naomba Nielekeze namna ya kudownload application form ya degree.
 
Back
Top Bottom