Uliza swali lolote kuhusu Mzumbe, wahenga tutakujibu

ikiwa mtu amemaliza diploma ya information technology with accounting na amepata GPA ya 3.8 anaweza kusoma kozi ipi hapo chuoni za IT and business ambazo zinatolewa
Zipo mkuu

the great
 
Attachments

Zipo mkuu

the great
  1. Bachelor of Science in Information Technology with Business (BSc.ICT-B)
  2. Bachelor of Science in Information Technology Systems (BSc.ITS)
  3. Bachelor of Science in Information Communication Technology with Management (BSc. ICT-M) nahitaji kozi hizi, je nitakuwepo campus ya wapi ?
 
Nimekutumia hiyo guide book zipo campus ya moro

the great
 
applications za mzumbe tunafanyaje? tsh ngapi? dogo ana point 9, hgl anataka kuaaply course ya Public health mgt systems(sijui kama inaitwa ivo)
 
ujinga wa hii course sasa hawaajiliwi direct, zamani walikuwa wakihitimu wanachukuliwa moja kwa moja

sasa ajira ni za kuomba, alafu shida ni hosp. tu sijajua kama unaweza ajiliwa sehemu nyingine
 
kuajiriwa direct inabidi tusahau mpendwa, ni kuomba na kujitetea ili upate kazi
 
kama hakuna kuajiliwa direct hii course si ya kusoma maana ajira yake ni ukatibu afya tu (nisahihishwe kama nimekosea) huwezi omba sekta nyingine tofauti na lgm, p.a
 
Back
Top Bottom