Kwa matokeo ya form six, div two ya 10 eng C, kisw C, history D anaweza kupata degree ya law apo mzumbe?Wapi mkuu
the great
GPA 4.8 mkuu ni kubwa lazima atapata pia law utapata tu ila jipange akina kobogo mgeta benja na wengine hawachagi MTU salamaKwa matokeo ya form six, div two ya 10 eng C, kisw C, history D anaweza kupata degree ya law apo mzumbe?
Na mwenye diploma ya uhasibu GPA ya 4.8 anaweza kupata BAF apo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa mkuuGPA 4.8 mkuu ni kubwa lazima atapata pia law utapata tu ila jipange akina kobogo mgeta benja na wengine hawachagi MTU salama
the great
na wapi tena mkuu wanaweza ajiriwaMkuu sio hospital tu
the great
Sehemu yoyote inayohusiana na afya na ambayo haihusiani na afya mfano msd NMR NGO who na sehemu nyingi sana pia unaweza ajiliwa sehemu ya human resource katika organization yoyote ile kwasababu kwenye course kuna vitu vingi ambavyo tunashare na human resourcena wapi tena mkuu wanaweza ajiriwa
mkuu Kama hukupita Hapo huwezi juaAaahhhh ndio nini mkuu
the great
kumbukumbu zangu zinanionesha course za kushare n hrm ni za mwanzo ambapo sopam nzima husoma (hsm, hrm, bpa, lgm,ram), baada ya hapo kila course wanaenda kwenye idara yao hsm anaja soma na hrm course za public finance, industrial relation, na nyingine 2 nimezisahauSehemu yoyote inayohusiana na afya na ambayo haihusiani na afya mfano msd NMR NGO who na sehemu nyingi sana pia unaweza ajiliwa sehemu ya human resource katika organization yoyote ile kwasababu kwenye course kuna vitu vingi ambavyo tunashare na human resource
the great
Mkuu mi nimemaliza mwaka huu na pia kuna marafiki na Dada zangu wameajiliwa kwenye private organization kama hrkumbukumbu zangu zinanionesha course za kushare n hrm ni za mwanzo ambapo sopam nzima husoma (hsm, hrm, bpa, lgm,ram), baada ya hapo kila course wanaenda kwenye idara yao hsm anaja soma na hrm course za public finance, industrial relation, na nyingine 2 nimezisahau
kwa uchache huu wa course hazimpi hsm uwezo wa kuwa hrm officer
umepita umekuta wamesha ikataza, kulikuwa na tabia ya jamaa kusimama magorofani, mkwawa, mirambo, nk. na kuanza kushusha burudani (kumsema mtu) mara nyingi stori niya kweli ila na chumvi kdgMkuu mbona nimepita[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
the great
Hadi mwaka wa tatu kuna masomo tunashare kama project planing na pppkumbukumbu zangu zinanionesha course za kushare n hrm ni za mwanzo ambapo sopam nzima husoma (hsm, hrm, bpa, lgm,ram), baada ya hapo kila course wanaenda kwenye idara yao hsm anaja soma na hrm course za public finance, industrial relation, na nyingine 2 nimezisahau
kwa uchache huu wa course hazimpi hsm uwezo wa kuwa hrm officer
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]umepita umekuta wamesha ikataza, kulikuwa na tabia ya jamaa kusimama magorofani, mkwawa, mirambo, nk. na kuanza kushusha burudani (kumsema mtu) mara nyingi stori niya kweli ila na chumvi kdg
tz yote yanawezekana ila kwa hsm kuwa hr wakati hasomi mambo ya msingi kwenye hr kama apprasal process, recruitment and selection, performance mgt, org. behaviour nkMkuu mi nimemaliza mwaka huu na pia kuna marafiki na Dada zangu wameajiliwa kwenye private organization kama hr
the great
Recruitments and selection organization behavior tunasoma mkuu hasa ob tunasoma chini ya nyaruba usishangae robo tatu ya darasa kushikwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]tz yote yanawezekana ila kwa hsm kuwa hr wakati hasomi mambo ya msingi kwenye hr kama apprasal process, recruitment and selection, performance mgt, org. behaviour nk
ok mkuu tuko pamoja, nyaruba hafai yule pia yupo kijana mmoja wa ppp (managing partinership in public service ) nae hafai aseeeRecruitments and selection organization behavior tunasoma mkuu hasa ob tunasoma chini ya nyaruba usishangae robo tatu ya darasa kushikwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
the great