uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,915
- 28,284
Nimekufafanulia maana ya beem so kama ualim hapana unaweza kwenda hizo nyingine tatu basi sizani kama kuna nyingine nzuri
Ahsante sanaNimekufafanulia maana ya beem so kama ualim hapana unaweza kwenda hizo nyingine tatu basi sizani kama kuna nyingine nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee kwanini usisomee sheria hiyo hiyoWahenga nina diploma ya sheria naweza kuomba course zipi hapo zaidi ya barchelor of laws?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nimeomba sheria first choice. Sasa nashindwa kuelewa ni course ipi niiweke yapili, hatakama siipendi ili ikitokea nimechukuliwa hiyo course nyingine nibadilishe kwenda sheria.Aiseeee kwanini usisomee sheria hiyo hiyo
the great
Weka hrm hsmNdio nimeomba sheria first choice. Sasa nashindwa kuelewa ni course ipi niiweke yapili, hatakama siipendi ili ikitokea nimechukuliwa hiyo course nyingine nibadilishe kwenda sheria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo mahandaki yako maeneo gani pale chuoni, yaani na kukaa kwangu kote miaka 3 nisisikie wala kuona hayo mahandaki? Hii ni mpya kwanguNi kweli kuna mahandaki. Mengi tu.
Ila sijui kama bado yanatumika.
Weka hrm hsm
the great
Thank youWeka hrm hsm
the great
Sijawai yasikia labda pale nakutunukuMkuu hayo mahandaki yako maeneo gani pale chuoni, yaani na kukaa kwangu kote miaka 3 nisisikie wala kuona hayo mahandaki? Hii ni mpya kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuyaona kwa kupita juu juu, kuna moja lilikuwepo vikenge karibu na bweni la matola. Inawezekana kwa sasa yamefunikwa yasionekane. Kipindi tupo wadogo tulikuwa tunayaona si unajua utundu wa utoto?Mkuu hayo mahandaki yako maeneo gani pale chuoni, yaani na kukaa kwangu kote miaka 3 nisisikie wala kuona hayo mahandaki? Hii ni mpya kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
MhhhhHuwezi kuyaona kwa kupita juu juu, kuna moja lilikuwepo vikenge karibu na bweni la matola. Inawezekana kwa sasa yamefunikwa yasionekane. Kipindi tupo wadogo tulikuwa tunayaona si unajua utundu wa utoto?
Ni muda mrefu zaidi ya miaka 15 sijakanyaga Mzumbe. Nimeishi huko.
Mbona umeguna?Mhhhh
the great