Uliza swali lolote kuhusu Mzumbe, wahenga tutakujibu

Uliza swali lolote kuhusu Mzumbe, wahenga tutakujibu

Wajuvi ni lazima kujaza priority tatu katika application? Kwa mfano mimi nina diploma ya sheria. Naweza kujaza course ipi na ipi ukiacha llb?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na c ya economics na ya geography na f ya pure maths kwa mtu wa egm unamshAuri aachukue courrse ipi
 
Mkuu, CHADEMA Pub bado ipo?? Nlitoroka na deni la Kili 2 pale.

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
ujinga wa hii course sasa hawaajiliwi direct, zamani walikuwa wakihitimu wanachukuliwa moja kwa moja

sasa ajira ni za kuomba, alafu shida ni hosp. tu sijajua kama unaweza ajiliwa sehemu nyingine

Hii ina Health Systems Management,ajira zake haziko limited tu serikalini jamani,hii kozi ina fursa nyingi hata za kujiajiri endapo tu utakua smart,maana unasoma vitu kibao,mfano..

Epidemiology,health economics,health psychology,health systems research,strategic health management na mengine kibao.

Kwa hiyo mnapoenda kusoma someni mkiwa na plan b sio lazima aliyesoma HSM awe katibu wa afya tu.
 
tz yote yanawezekana ila kwa hsm kuwa hr wakati hasomi mambo ya msingi kwenye hr kama apprasal process, recruitment and selection, performance mgt, org. behaviour nk
HSM anasoma vyote hivyo,nenda kapitie course content zao.
 
wahenga...... katika application ni lazima kujaza priority zote tatu? au iko Vp? mimi nina diploma ya sheria, naweza nikajaza hata bba kisha nikichaguliwa nikabadili course?
 
dogo unasoma mzumbe hujui kiu ni nini??

kweli chuo kimebadilika

kiu ndio tradition ya mzumbe toka inaanzishwa..

ngoja nimpigie simu peter awaeleze siku moja darasani... wale wa bpa nazan anawafundisha

Aaahhhh ndio nini mkuu

the great
 
Naona mtoa Uzi amesahau kutoa angalizo japo nikweli anaonekana ni mzoefu wa Mzumbe...

Namsaidia kutoa angalizo na sio vitisho naomba nieleweke vizuri.

Ni kwamba kuingia chuo kikuu Mzumbe ni rahisi mno (wengi huingia kwa furaha sana) but suala LA kumaliza salama ndo changamoto.

Isikie tu hiyo QMS 100, Cjui LAW 100 ukadhani ni majarida.Narudia tena sitoi kitisho wandugu unless

Karibuni chuo kikuu Mzumbe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kijana HKL unapata dv three.mzumbe usiende utadisco
Mwongo! Kati ya vyuo vikuu vya serikali Mzumbe ndo pepesi sana! Watu huwa wanaliwa vichwa UDSM na SUA halafu wakienda mzumbe wanapeta kwa kozi hiyo hiyo!
 
Back
Top Bottom