Ah! Bas utam wa mzumbe umeisha, kiu ni tamu sana hasa kipindi mwaka wa kwanza wanahangaika na QMS 100[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu hiyo kiu iliisha
the great
Mbona MBA za Mzumbe za Dar zinadharauliwa,tatizo nini?
Mkuu njoo Mzumbe main campus unaliwa kichwa kawaida tuInasemekana ni rahisi sana kupata admission na uhakika wa kumaliza chuo Kwa zaidi ya 100% kitu ambacho Kwa vyuo vyenye hadhi ya kimataifa Kama vile UD hali ni kinyume chake!
Mkuu njoo Mzumbe main campus unaliwa kichwa kawaida tu
the great
Chuo cha mzumbe system yao ya kulipa kwa tigo pesa inazingua yaani haikubali lolote, warekebishe kama hawawezi waseme tujue tusipoteze mudaWakuu habarini zenu, sitaki kuwachosha na salamu nyingi naenda moja kwa moja kwenye topic yetu.
Kama una swali lolote kuhusu chuo kikuu cha mzumbe uliza kwenye huu Uzi na wahenga wa Mzumbe tutakujibu, wahenga mojawapo ni Mimi cendy, Daby, the bold na wengine
Kiufupi mzumbe main campus iko Morogoro takribani kilometers 23 kutoka Morogoro mjini ipo wilaya ya Mvomero.
Mzumbe ina schools mbili, Institute moja na faculties ikiwemo faculty of law, fss, fst
Mzumbe ina course nzuri sana inayoitwa bachelor of science in health system and management ambayo ndio course inayochukua watu wa art na mkopo ni compulsory.
Kwa taarifa zaidi ingia www.mzumbeuniversity.ac.tz![]()
Bila kumusahau Nkobogo the don.Karibu utamkuta Binamungu, Mgeta na wengineo
Mkuu usikate tamaa ukikata tamaa mapema hivi vipi kuhusu kukaa vimbweta ukisubiria venue[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Chuo cha mzumbe system yao ya kulipa kwa tigo pesa inazingua yaani haikubali lolote, warekebishe kama hawawezi waseme tujue tusipoteze muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Bsc Economics- Population and Development imefutwa?1 BSc Economics - Economic Policy and Planning (EPP)
2 BSc Economics - Project Planning and Management (PPM)
3 Bachellor of Education - Economics and Mathematics (BEEM)
4 Bachellor of Accounts and Finance (BAF)