Uliza swali lolote kuhusu Mzumbe, wahenga tutakujibu

Hii Qms 100 ni nini wakuu?
Na join pale mwaka huu nifahamisheni wakuu

ha ha ha somo la hesabu kwa kozi za arts... hizi qms zinatupa sana ma demu watu wa baf, bba etc.... maana totoz zinakuja kwa fujo uzifundishe qms au ukazifanyie test zao
 
Kwa wale wanapenda kuingia darasani mara moja kwa wiki je wataweza kusoma mzumbe
 
Wajomba vip hii course ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING AND MANAGEMENT ipoje na masomo(module) yake mengi yana fall on what , calculations au explanations ?
 
Kwa wale wanapenda kuingia darasani mara moja kwa wiki je wataweza kusoma mzumbe

kuna mwana alikuwa anakuja kwenye pepa tu... alikuwa anasoma huku anafanya biashara.. na hakudisco... ila anaonga pesa balaa watu wanagombania kumfanyia assigment... na alimaliza fresh degree yake
 
ha ha ha somo la hesabu kwa kozi za arts... hizi qms zinatupa sana ma demu watu wa baf, bba etc.... maana totoz zinakuja kwa fujo uzifundishe qms au ukazifanyie test zao
kama kuna kitu nikisikia hata dudu halisimami ni hesabu tena za sekondar
Hata 1+1 ukiniambia ni ya sekondar naweza kuikosa sasa huko tena watu wa arts wanasoma hesabu.??
 
mzumbe kozi zote zina hesabu kasoro law tu
 
Back
Top Bottom