Wakuu habarini zenu, sitaki kuwachosha na salamu nyingi naenda moja kwa moja kwenye topic yetu.
Kama una swali lolote kuhusu chuo kikuu cha mzumbe uliza kwenye huu Uzi na wahenga wa Mzumbe tutakujibu, wahenga mojawapo ni Mimi cendy, Daby, the bold na wengine
Kiufupi mzumbe main campus iko Morogoro takribani kilometers 23 kutoka Morogoro mjini ipo wilaya ya Mvomero.
Mzumbe ina schools mbili, Institute moja na faculties ikiwemo faculty of law, fss, fst
Mzumbe ina course nzuri sana inayoitwa bachelor of science in health system and management ambayo ndio course inayochukua watu wa art na mkopo ni compulsory.
Kwa taarifa zaidi ingia
www.mzumbeuniversity.ac.tz