Mkuu unauliza makinikia baharini?Vipi ukimwi upo hapo?
Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... Dah haya mkuuMkuu unauliza makinikia baharini?
MU ni funika bovu,sisi kipindi tupo MZUMBE BOYS tukishapewa verification zakutisha mnoo
Pale mpaka mama mchungaji si salama
sent by IPhone 6 using jamii forum app
hahahahahha mgeta kanifundisha administrative law jamaa anajua sana.Karibu utamkuta Binamungu, Mgeta na wengineo
yaani Tundu Lisu utadhani kasoma HarvardPoa Nitakuja Kupiga LL.B
Nasikia Peter Kibatala Ni Product
Ya Hapo.
inaitwa health system management ( hsm) sijui kama wameibadiri sasa. ikiwa chini ya school of public adm. and management ndo maana wengine wanachanganya na kuuita public adm. and health system managementMhhhh kwanza sio public administration and health system ni bsc in health system and management
the great
Tulikuwa tunaenda kuangalia uzamini, nmemiss sana kupigwa na zongweDaah! Nime-miss Sana Magazeti
Pale Cafeteria.
Kwa Sisi Mzumbe Boys Pale Palikuwa Pa Kutambia.
Imebadilishwa mwaka huuinaitwa health system management ( hsm) sijui kama wameibadiri sasa. ikiwa chini ya school of public adm. and management ndo maana wengine wanachanganya na kuuita public adm. and health system management
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna jamaa yangu yupo hapo MU anaingia mwaka wa pili ...kila wiki lazima anitumie pic ya manzi mapaja yakiwa wazi /uchi akiwa kitandani WhatsApp akiwa anajiandaa kujilia chakula kitakatifuu dah aseeeeee uwaga namwaga zangu nalalaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ni kweli tunasoma kwa shift ila sio miezi mitatu iko hiviJe ni kweli kwamba Mzumbe kuna wanafunz wengi kiasi kwamba wanasoma kwa shift ya miez 3?
Na Mzumbe Inatoa course zipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yako mkuu.Wakuu habarini zenu, sitaki kuwachosha na salamu nyingi naenda moja kwa moja kwenye topic yetu.
Kama una swali lolote kuhusu chuo kikuu cha mzumbe uliza kwenye huu Uzi na wahenga wa Mzumbe tutakujibu, wahenga mojawapo ni Mimi cendy, Daby, the bold na wengine
Kiufupi mzumbe main campus iko Morogoro takribani kilometers 23 kutoka Morogoro mjini ipo wilaya ya Mvomero.
Mzumbe ina schools mbili, Institute moja na faculties ikiwemo faculty of law, fss, fst
Mzumbe ina course nzuri sana inayoitwa bachelor of science in health system and management ambayo ndio course inayochukua watu wa art na mkopo ni compulsory.
Kwa taarifa zaidi ingia www.mzumbeuniversity.ac.tz![]()
Mkuu sorry ni vigumu japo kuwa sikutishi unaweza omba lakini kupata nikazi sana maana kuna computation sanaHabari yako mkuu.
Ninaye kijana hapa ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu.Amepata division three point 13,alama zake ni kama zifuatazo:-
General study-S
History-E
Kiswahili-C
English language-E
Anapendelea kusomea degree ya sheria hapo mzumbe,je atapokelewa? na kama hatopokelewa kwa kozi hio,je anaweza chukua degree ya kozi gani kwa points hizo?.
Naomba msaada,tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama ni kiasi gani?!.Mkuu sorry ni vigumu japo kuwa sikutishi unaweza omba lakini kupata nikazi sana maana kuna computation sana
the great