Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

Hivi ile mbwa anajipeleka mwenyewe kwa chatu huku amefyata mkia analia...nimewahi kuona shamba , inakuaje chatu ana uwezo gani wa kumvuta mbwa?
 
Hivi ile mbwa anajipeleka mwenyewe kwa chatu huku amefyata mkia analia...nimewahi kuona shamba , inakuaje chatu ana uwezo gani wa kumvuta mbwa?
 
[Cat family, ndo maana ana tabia kama paka. Hapendi sana shari ukimsumbua akiwa na msosi wake anazira na kuishia.
Pia anapenda miamba aka rocksQUOTE="adden, post: 35585878, member: 345823"]
chui ni mnyama mwenye aibu sana.yupo kwenye kundi la carnivore(wala nyama)jamii ya paka.chui ni mnyama solitary(wanaishi kibachela).chui maisha yake yote anapendelea kuishi juu ya miti hii ni sababu ya food competition.ana uwezo wa kupandisha juu ya mti mnyama mwenye uzito mara 3 kumzidi.kumuona chui ni bahati sana sababu wana aibu na wanapenda kujificha sana.ikitokea amepata mwanamke basi anamtia mimba kisha kila mtu anaenda na 50 zake.anatumia mkojo na kinyesi kuweka alama ya mipaka yake ina maana ukikatiza katika home range(territory) yake anakupasua.anawinda kwa kuvizia na kushtukiza(ambush & stalk).yapo mengi zaidi utazidi kujifunza mbeleni hiyo ni briefing tuu
[/QUOTE]
 
Unachapia. You should hv talked about food chain. Survival of the fittest is a different concept not the way you put it.
Hiyo kweli ndo maana ya ecosystem ??
Dude be careful... !!
QUOTE="adden, post: 35586220, member: 345823"]
simba amepewa king of the jungle sababu ni its sign of superior, strength and pride sio sababu ingine.angepewa tembo lakini akapewa simba sababu ni mnyama pekee aina ya paka wenye undugu na ushirikiano na upendo kijamii.
fisi ni scavengers wala mizoga bila wao na tai ina maana wanyama wengine wote wangekufa kwa magonjwa sababu mizoga ingezagaa maporini na kuleta magonjwa(ecosystem).fisi anakula hadi kwato na kucha na manyoya na mifupa.hiyo nzuri sana kwa ecosystem.
porini wanaishi kwa kitu inaitwa survival of the fittest simba kuna wakati wanaumizwa ktk majukum yako hvyo wanakuwa dhaifu wanakuja kuliwa na fisi.ila adui mkubwa zaidi kwa wanyama wote duniani ni BINADAMU
[/QUOTE]
 
Mmmh[emoji87][emoji87]
 
Ni kwa nini wanyama kama fisi na simba hawali wanyama wanaokula wanyama wengine?Wanapenda tu wanyama wanaokula nyasi?
 
Ni kwa nini wanyama kama fisi na simba hawali wanyama wanaokula wanyama wengine?Wanapenda tu wanyama wanaokula nyasi?
Fisi anakula nyama aina yoyote awe simba au fisi mwenyewe(canibalism).simba au jamii ingine ya paka ni wastaarabu na ni mara chache kukuta anakula hata mizoga.wanyama wanaokula nyasi ni soft sana(tamm na laini)pia hii ya kula wanyama wala majani huchangia population control ya wanyama hao.ina maana nature iliamua kuweka jamii za wala nyama ili kuweka uwiano sawa(balance nature)kwa wao kula wala majani.
 
Sikujua kuwa wanyama wala majani wana nyama laini na tamu.Nadhani ndio maana ata binadamu hatuli nyama za wanyama wala nyama.

Lakini nasikia huko kusini kuna makabila yanakula mbwa
 
Samahani boss mi naenda nje ya mada kidogo
Je kwanini vyuo vya uhifadhi wanyamapori kama PASIANSI &MWEKA wanapodahili wanafunzi wanawafanyia interview,
Je kuna ukweli baada ya kumaliza masomo unaingia kwenye ajira moja kwa moja?
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…