Ciprofloxacin
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 286
- 544
Unailezeaje ile habari ya kwamba mbwa akimuona chatu huwa anajipeleka kwenyewe kwa chatu?
Tunaambiwa kwamba hata ukijaribu kumzuia mbwa huyo huwa na hali ya kulazimisha kwenda kwa chatu. Je, kuna ukweli gani juu ya hili jambo?
cc: adden
Unachotakiwa kufahamu cha kwanza macho yaUnailezeaje ile habari ya kwamba mbwa akimuona chatu huwa anajipeleka kwenyewe kwa chatu?
Tunaambiwa kwamba hata ukijaribu kumzuia mbwa huyo huwa na hali ya kulazimisha kwenda kwa chatu. Je, kuna ukweli gani juu ya hili jambo?
cc: adden
mbwa ni kama kamera za zamani, yaani uwezo
wake wa kutambua rangi unaishia kwenye black
and white tuu (sio digitari ), na mawindo ya chatu huanza kwa kuweka mtego kipande cha mwili
ambacho huwa na mng'aro sana, sasa ambacho
humponza mbwa ni kutaka abaini akionacho ni
nini ? Na hapo ndio hujikuta ameingia kwenye 18
za chatu.
Kwa staili hiyo hiyo ya kunaswa kwa mbwa ndio hata binadamu huweza kuingia mtegoni,
afanyacho chatu cha kwanza huficha sehemu zake
zinazoogopwa yaani kichwa, na unapojaribu
kushangaa sehemu aliyoweka mtego, kwa kasi ya
mpira kwa ghafla utakuta ametengeneza alama ya
nane katika mwili wako, na hapo utambue ya kwamba hali yako ni mbaya ? Akisha kuzunguka
tuu kichwa chake huleta usawa wa macho ya
windo lake ili kujua madhumuni yake baada ya
kukikamata,