adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
- Thread starter
- #161
PUNDAMILIA(ZEBRA)
ndio mnyama anaejulikana kwa kuwa na uwezo mkali wa kuona,kunusa na kuskia.hii huwafanya baadhi ya wanyama wengi kuwa karibu nao kwa ajili ya ulinzi.pundamilia huuma na ana meno makali kwaajili ya kujilinda ukiachilia mbali mateke.pundamilia hulala usingiz akiwa amesimama na hukaa head to tail position ili kujilinda miguu yao ina loki hivyo akitaka kutembea huitoa loki na kuendelea na safar.utawakuta mara zote kila mmoja amegeukia upande wake hvyo ni ngumu mnyama kutokea wasimuone.pundamilia ndio mnyama mnene kipindi chote sababu anakula majani hadi yale ya chini kbs.kikawaida majani au miti iliwayo na wanyama hutoa sumu au kemikali yenye uchungu ili kujilinda sababu ukisema wanyama wale tuu hadi mwisho watakula hadi mbegu na kesho wakose chakula.hvyo miti na majani ikifikia kiwango chake hutoa hiyo sumu ili wanyama wasiile tena ili ichipue upya.tofauti na zebra yeye anakula tuu hata ijilinde vipi.zebra humtoa mwanamke mimba na kumshindilia uume wote na baada ya mimba kutoka ndio anapandikiza mbegu yake.pundamilia wana tabia ya kupiga mtungo mwanamke 1 anachangiwa hata na madume 3.lakini jike huachwa na hali mbaya sana hata kufa.hii hufanya sababu kila dume anataka kupandikiza mbegu zake hapo.watoto wa pundamilia hula kinyesi cha wazazi wao kwa ajili ya kupata virutubisho muhimu sana.pundamilia hufukuza wanyama legelege au wagonjwa sababu wanajua kwenye kundi kukiwa na mgonjwa au mtoto huvutia sana simba kuja kuwakamata.