adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
- Thread starter
- #141
naomba niweke hii heads up kidogo ili kama kuna swali mtu atapata katika muswada huu.hizi facts kidogo tuu kuhusu wanyama.
1.cheetah au duma hawindi usiku kama wanyama wengine jamii ya paka.kwanini??!
duma chini ya macho yake ana mistari meusi(tear marks)kama machozi tiririka ambazo ni maalum kwa ajil ya kuwinda mchana tuu wa jua kali.hizi tear marks humfanya awe kama amevaa miwani meusi ya jua.hivyo sababu anazo miwani meusi hawezi kuona vizuri usiku.tofauti iliyopo kati ya duma na chui ni kubwa ingawa kwa watu wachache hushindwa kungamua.
duma ana madoa tuu na kichwa kidogo kilichobeba mwili mwembamba ingawa ni mkubwa kimwili kuliko chui.ana moyo mkubwa na mapafu makubwa sababu ameumbwa kwa kukimbia spidi kubwa ya km 120 kw saa.huchukua sekunde 3 kutoka spidi 0 hadi 120.ndio mnyama mwenye mbio kuliko wote duniani.
2.Kiboko(hippo)ni mnyama wa pili kwa uzito akitoka tembo ingawa ushahidi bado unaelea kuhusu kiboko na kifaru kwa ukubwa.ndio mnyama wa kwanza kwa kuua binadam wengi akifuatiwa na nyati.kiboko ni amphibians yaani maisha yao yote wanaishi ndani ya maji.ingawa kiboko hula majani na mbogamboga tu wakati wa usku jua limepoa sababu ngoz yao haina sweat glands hivyo kuwafanya kuumia sana wakipatwa na jua.kiboko hajui kuogelea ingawa anaishi majini.anaweza kunyonyesha mtoto ndani chini ya maji.kiboko wanaishi na mla nyama mamba lakini wana mipaka huwez kuskia mamba kala kiboko!kwanini??!!sababu kiboko akila majani anajisaidia ndani ya maji.kinyesi ndio chakula kikubwa cha samaki na samaki ndio chakula kikubwa cha mamba.
3.nyati
ni jamii ya ngombe wakubwa wa porini.
hula majani na ndio mnyama tishio na wa kuogopwa kuliko yoyote.
nyati huishi katika makundi makubwa kwa ajili ya ulinzi.nyati mzee hutengana na kundi lake sababu ya kuhama hama kwa kundi katika kutafuta chakula hivyo anakuwa hana ushawishi na nguvu sana kuongozana nao.hii hupelekea nyati huyu kubaki mwenyewe au wachache na huwa wakorofi sna sababu maisha yao yanakuwa hatarini zaidi.kuna walioamini kwamba kujitenga kwa nyati kutoka kwenye kund ni sababu kuchukuliwa mke wake!!hivyo hujitenga na kundi ili apate chakula cha kutosha(akiamini akibaki mwenywe chakula kitamtosha kuliko kula wengi) kisha akipata nguvu kubwa hurudi kundini kulipa kisasi.hilo si kweli.
nitakuwa naweka vipengele vifupi vya fact kila aina ya mnyama tofauti na tutajibu maswali kwa wataouliza