madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Nyoka wenye vichwa viwili wapo na kwetu huitwa ndumila kuwili anakichwa mbele na nyumanyoka anatumia ulimi wake kama antena ili kupata frequences ya kitu kilichopo mbele yake.sense of vision ya nyoka ni ndogo sana.anapotoa ulimi na kuurudisha ndani inapeleka straight kwenye ubongo utambuzi wa kilichopo mbele na kumpa decision ya kufanya.wale nyoka wenye kimkia kinacheza wanaitwa VIPER na PUFFY ADDER kile kimkia akitingisha anatoa taarifa ya uwepo wake pale ili usisogelee na kumfanya ajihami.hakuna nyoka wenye vichwa viwili hizo ni TALES tu.labla ikitokea ni abnomalities tuu au kijenetiki.ila nyoka na wanyama ALBINO wapo.