Nyoka ana macho na anaona vizuri, kuhusu swala la kutoa ulimi nje kila mara hii inatokana na kuwa nyoka hana masikio kama wanyama wengne kwaiyo anatumia ulimi kunasa mawimbi ya sauti.
Kama anaona vizuri? Ni kipi kinapelekea kukupitia miguuni? Haswa ukitulia sehemu moja? Fanya research mkuu,,,ukimwona nyoka yeyote mbele yako,,,ukisimama kwa muda,, unaweza kumshtukia anakupitia miguuni...sasa kwann akifate miguuni? labda ukianza kumove ndy anahisi mbele kua jambo ,,anakimbia , nadhani ndy chanzo cha watu kuwakanyaga nyoka,,,...pia kuna siku niliona documentary Fulani inayozungumzia nyoka,,,yupo bwana mmoja misri,,yeye kazi yake ni kukamata nyoka tena kwa mikono yake miwili, hana fimbo hana chochote...anazunguka jangwani akiona shimo anaita nyoka kwa majina,,kama nyoka yule yupo mle ndani atatoka,,,halafu anamkamata,,kumpeleka kumuuza,,kwa watu maalum wanywa damu za nyoka,,, Huyo jamaa akaprove kama nyoka haoni.,anafata harufu na hisia ya vitu...ndy maana yeye kuwakamata ni rahisi.....