Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kiwango gani cha taaluma?
Please, naomba unipe abc za kupata sponsorship kwa level ya Master
Napenda hapa hapa Tanzania, japo Kwa abroad natamani sana na kwenda mataifa ya ukanda Scandinavia.Mfano kwa nchi gani ambayo ungependa kwenda kusoma Masters?
Napenda hapa hapa Tanzania, japo Kwa abroad natamani sana na kwenda mataifa ya ukanda Scandinavia.
Una PhD ya nini?PhD candidate
Bado mwanafunzi, nipo mwaka wa tatu, kozi (bachelor of science with education biology and chemistry).Fani yako ni ipi?
Bado mwanafunzi, nipo mwaka wa tatu, kozi (bachelor of science with education biology and chemistry).
Una PhD ya nini?
Kwa Nini kwenye PhD , H inaandikwa kwa herufi ndogo?
Nashukuru sana Mungu akubarikiHizi ni baadhi ya fadhili mbali mbali za graduate positions hapa Tanzania.
Jaribu kupitia hii page, unaweza kupata inayoendana na fani yako.
Tanzania Scholarships 2025-2026
Tanzania Scholarships 2025-2026 | Scholarships for Tanzanians | Scholarships for Students from Tanzania | Study Abroad | International Scholarships for Tanzanians | International Scholarships for Developing Countriesscholarship-positions.com
PhD candidate
Nashukuru sana Mungu akubariki
Shikamoo! Mimi ni fom foo feliya niongee au niulize nini kwa msomi kama wewe! Hapana inabidi kujipanga unapopata nafasi ya kumuuliza swali daktari wa falsafa
Haha, unataka kumaanisha nn?
Mtu aliesoma Bachelor of Science in Forestry anaweza ajiriwa TANAPA by any chance ?Niulize swali lolote linalohusu taaluma au nafasi za taaluma (academic positions)
Je, inawezekana mtu kusoma certiface ya environmental health na baadaye akasoma public health kwa ngazi ya diploma? Ahsante.