Uliza swali lolote linalohusu taaluma au nafasi za taaluma (academic positions)

Uliza swali lolote linalohusu taaluma au nafasi za taaluma (academic positions)

Mtu aliesoma Bachelor of Science in Forestry anaweza ajiriwa TANAPA by any chance ?

Kwenye ajira ambazo sio academic positions (Research fellows, lecturer, professor) sina uzoefu nazo. Ila kama mtu mwenye uelewa wa hili atakuelezea.
 
H inaandikwa kwa herufi ndogo kwasababu ni kifupi cha neno Philosophy, H imetoka kwenye hizo herufi mbili za kwanza “Ph” hvyo “P” uanza na herufi kubwa zen inayofuata ni “h” ambayo ni herufi ndogo.
kwa nini isiwe phd au PHD au Phd ?
 
PhD candidate
Shikamoo! Mimi ni fom foo feliya niongee au niulize nini kwa msomi kama wewe! Hapana inabidi kujipanga unapopata nafasi ya kumuuliza swali daktari wa falsafa
 
Umeanza vizuri sana kama hutabadilishwa (maana kuna comments zinaweza kubadilisha mtu) basi uzi utakuwa mzuri sana
 
Top Scholarships for International Students in the UK

Chevening Scholarships
Commonwealth Scholarships
GREAT Scholarships
Rhodes Scholarship
Gates Cambridge Scholarship
Marshall Scholarships
Scotland Saltire Scholarships
Clarendon Scholarship
Edinburgh Global Research Scholarships
Global scholarships
British Council Creative Economy Scholarships
Charles Wallace Pakistan Trust scholarships
Erasmus Mundus
Felix Scholarships
Fulbright scholarships
Imperial College London scholarship
University of Bristol
BUTEX international scholarship
Cardiff University scholarships
France scholarships
Mastercard scholarship
MSc in Development Policy and Politics (with Mo Ibrahim Foundation Internship)
UAL International Postgraduate £50,000 Scholarship and accommodation award
UCL Global Masters Scholarship
Think Big Undergraduate Awards
Warwick Undergraduate Global Excellence Scholarship
 
Fadhili za msomo mbali mbali (Fully Funded scholarships) nchini Germany[emoji629]

1: DAAD Scholarships

2: Friedrich Ebert Stiftung Scholarships
Each year up to 40 students are awarded this Scholarship to Study Free.

3: Rosa Luxemburg Stiftung Scholarships

4: Heinrich Boll Foundation Scholarships
Now Heinrich Boll Foundation will provide 1500 Scholarships to undertake Bachelor’s degrees, Master’s Degrees, or PhD Degrees in all Fields.

5: DAAD Helmut Schmidt Scholarship

6: DAAD EPOS Scholarship
EPOS is a Fully Funded scholarship that covers Travel, accommodation, stipend, and tuition fees as well.

7: KAAD Scholarship Germany
This Scholarship includes Tuition fees, living expenses, and language courses.

8: Erasmus Mundus Scholarship Program

9: DeutschlandStipendium National Scholarship
The Deutschlandstipendium offers financial support to ambitious and academically outstanding students from all corners of the world. (stipend is low might)

10: Friedrich Naumann Foundation for Freedom (FNF)
Provides financial assistance in the form of monthly stipends to cover living expenses, study materials, and health insurance.
 
Niulize swali lolote linalohusu taaluma au nafasi za taaluma (academic positions)
Naomba kujua ngazi yanmshahara kwa kada zifuatazo katika vyuo vya seriakali kwa mtu mwenye degree ya miaka4 (kama hujui kwa wenye degree ya miaka4 hata ya miaka3 unaweza taja).

1. Tutorial assistance

2. Lecturer

3. Senior Lecturer

4. Associate Professor

5. Professor

Naomba kuwasilisha.
 
Je, inawezekana mtu kusoma certiface ya environmental health na baadaye akasoma public health kwa ngazi ya diploma? Ahsante.
Je, inawezekana mtu kusoma certiface ya environmental health na baadaye akasoma public health kwa ngazi ya diploma? Ahsante.
Ninasoma hiyo degree ya Environmental health kwa sasa , kitu ninachofahamu kwa uelewa wangu kiasi ni kwamba kwa Tz kuna certificate,diploma na degree ya environmental health ila upande wa Masters ndiyo kuna Master of Public Health
Na kwa uelewa wangu inawezekana kusoma certificate ya environmental health then ukapnda upande wa diploma yake na baadae degree yake (Environmental Health science)
 
Mtu anaweza kuwa amesoma Masters ya kitu fulani na ikiwa ndiyo aliajiriwa nayo (Ass. Lecturer) na akaamua kusoma PhD ya kitu kingine ataruhusiwa au utaratibu uko vp?. Mfano, Masters ya Agriculture business then asome PhD ya Natural resources management?
 
Mtu anaweza kuwa amesoma Masters ya kitu fulani na ikiwa ndiyo aliajiriwa nayo (Ass. Lecturer) na akaamua kusoma PhD ya kitu kingine ataruhusiwa au utaratibu uko vp?. Mfano, Masters ya Agriculture business then asome PhD ya Natural resources management?

Kama wewe ni Ass. Lecturer maana yake una area of specialization hapo chuoni (yaani eneo ambalo unabobea) na kwenda kusoma PhD maana yake ni unajiendeleza kwenye eneo hilo ambalo umebobea.

Pia inakupatia faida ya juu pale unapokuja kupublish papers ili upate promotion to senior lecturer hadi uprofessor maana wanaangalia je paper ulizo publish zinaendana theme ya department yko na sio nje ya vitu ambavyo department yako inahusiana.

Kusoma PhD ya kitu ambacho hakina connection or relation na background yko ni ngumu sana, na inakuwa ngumu kupata hata supervisor kama unaapply nje ya nchi, mara nyingi ukisikia mtu amesoma PhD ya kitu cha tofauti kabisa na Bachelor na Masters yake, basi lazima area ya research yake inahusiano na vitu alivyofanya nyuma, watu wana Bachelor na Masters ya Chemistry, lakin anasoma PhD ya Chemical Engineering, etc.
 
Chief nimekuja rasmi naomba msaada

Binti ana Four ya 28 (KiswC, MathsF, masomo mengine D) sasa anataka kujua anachoweza kusomea
NIT
DIT
NACTE
 
Chief nimekuja rasmi naomba msaada

Binti ana Four ya 28 (KiswC, MathsF, masomo mengine D) sasa anataka kujua anachoweza kusomea
NIT
DIT
NACTE

Kwanza Binti anataka kusoma kitu gani? Au anatamani kufanya nini baadae?

Lakini, kama akitaka kusoma field ya science au engineering, basi inabidi aanzie Certificate maana naona Maths ana F, sijajua kama utaratibu umebadilika.

kwa sasa, ni vizuri kumuuliza anachotaka kusoma ili iwe rahisi kujua hatua zinazofuata, maana kuna fields za kusoma zaidi ya 100 na zinatofautiana vigezo.

Mwambie asijisikie vibaya kwakuwa amepata Four ya 28, kuna njia nyingi sana kupitia NACTE ili kufikia malengo aliyojiwekea, kuna watu wengi makazini walipiga Four za mwisho, ila kupitia certificate na diploma sasa wapo kwenye nafasi za juu serikalini na sehemu binafsi.
 
Back
Top Bottom