Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa!
Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu. Ukweli ni kwamba rangi nyekundu kwenye bendera inaifanya kupendeza na kuvutia sana.
Serikali iongeze mistari miwili mshazari ya rangi nyekundu kwenye bendera yetu kuwakilisha upendo au ujamaa.