Umaarafu na kupendwa sana kwa bracelet ya Kenya inatokana na nini?

Umaarafu na kupendwa sana kwa bracelet ya Kenya inatokana na nini?

Kwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa!

View attachment 3593892

Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu. Ukweli ni kwamba rangi nyekundu kwenye bendera inaifanya kupendeza na kuvutia sana.

Serikali iongeze mistari miwili mshazari ya rangi nyekundu kwenye bendera yetu kuwakilisha upendo au ujamaa.
Watanzania wengi hawako proud na nchi yao , ndio maana ni wabongo wengi wanajipa utaaifa wa nchi nyingine unakuta wengi wanajiita Wakenya na mataifa mengine kama nickname
 
Naona ya Morocco wameweka alama ya Kiyahudi David's star licha Morocco ni nchi ya kiislamu.

Ila nimewaelewa wanatafuta baraka kwa fujo na lazima.

Malaria 2 mdogoee

adriz de mbusii
 
Ni rangi nyekundu ndiyo inayopendezesha hiyo brace na ni rahisi kuipangilia shanga zake
Angalia nyekundu hii kwenye bendera ya nchi ya Trinidad and Tobago jinsi ilivyo mbaya Bora Tz
images (26).jpeg
 
Watanzania wengi hawako proud na nchi yao , ndio maana ni wabongo wengi wanajipa utaaifa wa nchi nyingine unakuta wengi wanajiita Wakenya na mataifa mengine kama nickname
Tutakuwaje Proud wakati kobaz wakiwa kwenye utawala wizi, ufisadi, ufuksa, unafiki na umwagikaji damu unakithiri?

NYAMBAFF!
 
Hii asili yake hasa ni kabila la wamasai. Na Kenya kuna wamasai wengi, hivyo wakajikuta nchi nzima ya Kenya wameufanya kama utamaduni wao. Wakenya wengi wanaivaa, hivyo wameifanya iwe maarufu. NB: Za wamasai zilikuwa na rangi nyingine ila wakenya wakaifanyia mabadiliko ya rangi.
Unataka kumanisha kenya inaidadi kubwa ya masai kuliko Tanzania?!
 
Sio bracelet pekee hata nchi tu yenyewe inapendwa ulimwenguni hata mimi naipenda sana kenya
 
Watanzania wengi hawako proud na nchi yao , ndio maana ni wabongo wengi wanajipa utaaifa wa nchi nyingine unakuta wengi wanajiita Wakenya na mataifa mengine kama nickname
Tutakuwaje Proud wakati kobaz wakiwa kwenye utawala wizi, ufisadi, ufuksa, unafiki na umwagikaji damu uliokotiri unatamalaki?

NYAMBAFF!
 
Kwa sababu wananchi wake wanajielewa na kujitambua kua nchi ni yao na sio watala.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom