Hii asili yake hasa ni kabila la wamasai. Na Kenya kuna wamasai wengi, hivyo wakajikuta nchi nzima ya Kenya wameufanya kama utamaduni wao. Wakenya wengi wanaivaa, hivyo wameifanya iwe maarufu. NB: Za wamasai zilikuwa na rangi nyingine ila wakenya wakaifanyia mabadiliko ya rangi.Kwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa!
View attachment 3593892
Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu. Ukweli ni kwamba rangi nyekundu kwenye bendera inaifanya kupendeza na kuvutia sana. Serikali iongeze mistari miwili mshazari ya rangi nyekundu kwenye bendera yetu kuwakilisha upendo au ujamaa.
Mimi hadi leo hii niliamini hivi🙆🏽♀️Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu.
Ili 29/10 ionekane katika benderaKwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa!
View attachment 3593892
Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu. Ukweli ni kwamba rangi nyekundu kwenye bendera inaifanya kupendeza na kuvutia sana. Serikali iongeze mistari miwili mshazari ya rangi nyekundu kwenye bendera yetu kuwakilisha upendo au ujamaa.
We were cooked🙆🏽♀️Ni uongo
Unaona sasa🫢Bendera za Malawi, Zambia, na Ghana zina rangi nyekundu.
Rangi zake zinamatch na nguo yoyote pia hazina ubaguzi mkubwa kwa rangi ya mtu