Watanzania wengi hawako proud na nchi yao , ndio maana ni wabongo wengi wanajipa utaaifa wa nchi nyingine unakuta wengi wanajiita Wakenya na mataifa mengine kama nicknameKwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa!
View attachment 3593892
Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu. Ukweli ni kwamba rangi nyekundu kwenye bendera inaifanya kupendeza na kuvutia sana.
Serikali iongeze mistari miwili mshazari ya rangi nyekundu kwenye bendera yetu kuwakilisha upendo au ujamaa.
Naona ya Morocco wameweka alama ya Kiyahudi David's star licha Morocco ni nchi ya kiislamu.Kwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa!
View attachment 3593892
Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu. Ukweli ni kwamba rangi nyekundu kwenye bendera inaifanya kupendeza na kuvutia sana.
Serikali iongeze mistari miwili mshazari ya rangi nyekundu kwenye bendera yetu kuwakilisha upendo au ujamaa.
Angalia nyekundu hii kwenye bendera ya nchi ya Trinidad and Tobago jinsi ilivyo mbaya Bora TzNi rangi nyekundu ndiyo inayopendezesha hiyo brace na ni rahisi kuipangilia shanga zake
Tutakuwaje Proud wakati kobaz wakiwa kwenye utawala wizi, ufisadi, ufuksa, unafiki na umwagikaji damu unakithiri?Watanzania wengi hawako proud na nchi yao , ndio maana ni wabongo wengi wanajipa utaaifa wa nchi nyingine unakuta wengi wanajiita Wakenya na mataifa mengine kama nickname
Unataka kumanisha kenya inaidadi kubwa ya masai kuliko Tanzania?!Hii asili yake hasa ni kabila la wamasai. Na Kenya kuna wamasai wengi, hivyo wakajikuta nchi nzima ya Kenya wameufanya kama utamaduni wao. Wakenya wengi wanaivaa, hivyo wameifanya iwe maarufu. NB: Za wamasai zilikuwa na rangi nyingine ila wakenya wakaifanyia mabadiliko ya rangi.
Tutakuwaje Proud wakati kobaz wakiwa kwenye utawala wizi, ufisadi, ufuksa, unafiki na umwagikaji damu uliokotiri unatamalaki?Watanzania wengi hawako proud na nchi yao , ndio maana ni wabongo wengi wanajipa utaaifa wa nchi nyingine unakuta wengi wanajiita Wakenya na mataifa mengine kama nickname
Angalia nyekundu hizi kwenye bendera ya Turkey na Tunisia zingependeza kama wasingeweka mwezi na nyota.Angalia nyekundu hii kwenye bendera ya nchi ya Trinidad and Tobago jinsi ilivyo mbaya Bora TzView attachment 3594264
NYAMBAFFWatanzania wengi hawako proud na nchi yao , ndio maana ni wabongo wengi wanajipa utaaifa wa nchi nyingine unakuta wengi wanajiita Wakenya na mataifa mengine kama nickname
Kwenye QuranWapi imeandikwa kwamba morocco kiislam?
Inategemea ntu na ntu