Umaarufu unamchagua mtu au ni mtu ndiye anachagua kuwa maarufu?

Umaarufu unamchagua mtu au ni mtu ndiye anachagua kuwa maarufu?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Umaarufu (Fame) wengi tuna matamanio ya kuwa watu maarufu katika sehemu tunazoishi ila kwa bahati mbaya mambo yanakuwa yanaenda vice versa once nakumbuka nilipokuwa nasoma nilipata wakati mgumu kuwaaminisha watu kuwa tunasoma class moja na sikuwa mtoro ni vile nilikosa kismati cha kutokuwa maarufu katika eneo ninalosoma.

Umaarufu umegawanyika katika sehemu mbalimbali na hata ukisikia vitu kama hivi akili yako lazima itafikiria watu fulani.
1. Siasa - Zitto Kabwe
2. Muziki - Diamond Platnumz
3. Mpira - Mbwana Samatta
4. Sheria - Fatma Karume
5. Watangazaji - Millard Ayo
6. Matajiri - Dewji na Bakhresa
7. Mamlaka - John Magufuli
8. Umbo - Sanchoka

Hoja yangu ni kuwa hawa watu wote ni kuwa walichagua kuwa maarufu na wakawa maarufu au toka wanazaliwa Umaarufu ulikuwa tayari ulishawachagua?
 
Umaarufu unatafutwa, haumtafuti mtu. Na pia kuna vitu ukiwa navyo vitakusaidia kupata umaarufu kiurahisi mfano unajua sana mpira, kuimba, kuigiza, kutia. Ila kama wewe hutaki umaarufu hautakuwa maarufu kamwe. Mfano diamond angeamua siimbi, au samata angeamua sichezi mpira asingekuwa maarufu.
May be piere umaarufu ndo umemtafuta yeye, lakini pia ulikuwa na uwezo wa miserable sitaki mnirecord video nikiwa nimelewa na asingetoka
 
Nakuongezea na hii, Kasome tofauti ya FAME na POPULARITY.

Hivi Diamond na yule mlevi wa pombe "piere" wanaweza kuingia group moja??
Hawawezi kuingia group moja kwa sababu umaarafu wao unatofauti lakini haimaanishi kuwa huyo unayemuita mlevi sio maarafu kama media zinamtambua na mkuu wa mkoa jiji anamfahamu kwa nini tusikubali kuwa ni mlevi maarafu
 
Back
Top Bottom