BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Umaarufu (Fame) wengi tuna matamanio ya kuwa watu maarufu katika sehemu tunazoishi ila kwa bahati mbaya mambo yanakuwa yanaenda vice versa once nakumbuka nilipokuwa nasoma nilipata wakati mgumu kuwaaminisha watu kuwa tunasoma class moja na sikuwa mtoro ni vile nilikosa kismati cha kutokuwa maarufu katika eneo ninalosoma.
Umaarufu umegawanyika katika sehemu mbalimbali na hata ukisikia vitu kama hivi akili yako lazima itafikiria watu fulani.
1. Siasa - Zitto Kabwe
2. Muziki - Diamond Platnumz
3. Mpira - Mbwana Samatta
4. Sheria - Fatma Karume
5. Watangazaji - Millard Ayo
6. Matajiri - Dewji na Bakhresa
7. Mamlaka - John Magufuli
8. Umbo - Sanchoka
Hoja yangu ni kuwa hawa watu wote ni kuwa walichagua kuwa maarufu na wakawa maarufu au toka wanazaliwa Umaarufu ulikuwa tayari ulishawachagua?