Umaarufu unawapeleka watu kwenye shida

Umaarufu unawapeleka watu kwenye shida

Watu wanachukulia kila mtu analiwa ndio kupata hela. Mbona wapo vijana mashoga wengi na hawana vigari, wala vijumba kama vya hawa. Watu wasichukuliwe kuliwa ni kitu kipo kipo tu. Jirani zako wangapi wanaliwa? Utakuta hakuna. Sawa tetesi. Tutafute hela. Sometimes huwa tunatafuta hela, na tunapewa na vimada vyetu, vi hela vya kusogeza siku ila haina maana tunaliwa. Tunatafuta. Huwezi ongelea mtu kuendelea eti analiwa. Watanzania mmeona ushoga ni point sana ya pesa. Mmeacha swala la freemason sasa mnasema wanaoliwa wanahela, mara wanalala na vibopa. Hivi mnafikiri watu wenye senti zao wanapenda sana makalio ya wanaume wenzao?
Kama hauna permanent job au permanent business muda haungojei mtu, machoko wapo wanaowini kwa uchoko(madhara wakija kukutana nayo watajijua wenyewe) na wapo machoko njaa yaani kama ilivyo kwa malaya kwani wapo wanaoliwa kwa kununuliwa magari au kopewa nyumba lakini pia wapo wanaoliwa kwa chips kavu.
Rumours zipo na katika kukua kwangu TZ niliwafahamu machoko kadhaa(zamani hizo you can imagine), machoko wa ushuani na pia machoko machafuchafu wa uswahilini, hivyo ukweli ni kwamba machoko wapo sana tu japo tofauti ni kubwa na Western Countries kwani huku wako waziwazi na wanaona sifa mbele ya jamii kuwa machoko kwa kuwa jamii inaukumbatia huu ushenzi.
 
Kijana Graduate wa Udsm mwenye kiherehere na Ujuaji mwingi, yuko mawinguni anabwabwaja.

Yule ukimshikisha Pesa hata hadharani anaweza kukupa masege. Maana kwa mwanaume kujipendekeza kiasi kile ni walakini mkubwa.
Mwijaku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bado m1 naye wanamtafutia timing, sjui ni mchambuzi au mtangazaji wa soka si alipelekwa ulayaa na yule rafiki ake uchwaraaa, eti atalipwa pesaa mingii, kaishia kuliwa kinyeo buree na mzungu.

Afu tangu arudi Bongo kawaa km chizi smart, yaan kwa kifupi hayuko sawaaa.
Mzee wa kaulia.
 
Mwijaku mbona ana maisha yake ya kawaida tu na istoshe mke wake pia ela anazo si haba za kwa maisha ya kutanua tu mjini kawaida,pia jamaa mbona anafahamika ni balozi wa makampuni mengi tu huko nako anaingiza mpunga tu unaoeleweka bado istoshe ni mfanyakazi CMG analipwa huko nako mbona wabongo mna chuki ya kichawi namna hii angekuwa hivyo angeweza kuwa na mke na watoto???....Basi tuseme kama ni hivyo baba levo nae wanamgeuza? Ambae nae ni chawa...Mwijaku ni balozi wa 1.Wasafi Bet 2.Billions paint 3.Kampuni ya usafirishaji wa Mr.Counsellorsallah na mengine mengi bado hujaongeza na mshahara anaolipwa CMG kweli anashindwa kuwa na maisha aliyonayo saivi?....Wabongo tuache wivu
Mwijaku umekuja
 
sisalimii leo

Huyu kijana anajulika sana mwazo watu hawakuwa wanamuelewa sasa baada ya kumaliza chuo pale UDSM ndipo akapata mpenyo wa kujulikana mwazoni watu walikuwa hawamuelewei kabisa

Lakini baada ya kuwa maarufu fursa zikawa zinakuja kwa wingi sana ndipo akapata nafasi ya kuwa mtangazaji kwenye kituo kimoja cha redio na TV kidogo kidogo akaaza kupa na ndege safari za nje hatimae akawa maarufu zaidi watu wakamuelewa baadhi yao

Pole pole akaaza jipendekeza kwa wakubwa sasa juzi kati hapa akaingia kwenye ugomvi na mdada mmoja hapa bongo ambaye anatikisa sana kwa sasa na ni mrembo akawa anamtukana mtandaoni hakujua kuwa yule dada anajua siri zake sasa baada ya kumtukana huyu dada hakaona isiwe kesi ngoja nimkumbushe atambue mipaka yake

Kweli alipo mkumbusha alikausha akatulia kimya kumbe nyuma ya panzia anauza masege hapa bongo tena anauza na tajiri mmoja hapa bongo sasa mke wake hajui ilo na kucha anajifanya mtakatifu sana kumbe zile sms akimsifia huyo tajiri zilifuja na zipo juju kwa juju wamesema tumsitili huyu kijana ila akiendelea na uzwazwa wake tuta mnyoosha

Huyu wakati anaingia kwenye kiwanda cha umaarufu alikuwa patient tamaa zake zime mpoza sana na sasaivi masege yana hesabika na ata picha zake sikuizi watu washa haza zi diss anauza masege kwa kutaka apate pesa pesa anazo pata hazimtoshi
Vijana tufanye kazi hakuna cha bure bure

Na ukiwa maarafu fwata malezi ulio kulia achana na watu au marafiki wa ovyo kuna watu wanatumia umaarufu wao vibaya ni ilo tu
NB: UKIMJUA KAUSHA USIMTAJE MTU JINA
Acha wivu mkuu, na wewe una masege mbona
 
Watu wanachukulia kila mtu analiwa ndio kupata hela. Mbona wapo vijana mashoga wengi na hawana vigari, wala vijumba kama vya hawa. Watu wasichukuliwe kuliwa ni kitu kipo kipo tu. Jirani zako wangapi wanaliwa? Utakuta hakuna. Sawa tetesi. Tutafute hela. Sometimes huwa tunatafuta hela, na tunapewa na vimada vyetu, vi hela vya kusogeza siku ila haina maana tunaliwa. Tunatafuta. Huwezi ongelea mtu kuendelea eti analiwa. Watanzania mmeona ushoga ni point sana ya pesa. Mmeacha swala la freemason sasa mnasema wanaoliwa wanahela, mara wanalala na vibopa. Hivi mnafikiri watu wenye senti zao wanapenda sana makalio ya wanaume wenzao?
Wee nae Mwijaku ni bottom, mbna iko wazi lol.
 
Wee nae Mwijaku ni bottom, mbna iko wazi lol.
Crush wangu sikupingi nachosema watu wasikariri mtu akiwa na pesa basi hana marinda . Isikaririwe. Yaani wa stick to the point wasihushishe maisha binafsi.
 
Sema kuna nyingine inatembea video huko mjini Instagram Hakika Ruben anapakuliwa na kinasa msukuma hatari sana hii bongp
 
Kibongo bongo ukionekana na maisha kidogo tu unaambiwa Freemason au Shoga Daaah wabongo sijui chuki na wivu tutaacha lini aisee hatupendi kabisa mafanikio ya wenzetu wakitoboa maisha huu ni uzushi na chuki ya waziwazi
Wanataka kila mtu awe kapigika kama wao ili waanza kujifariji wao kwa kukufariji wewe,sijui pambana mwanangu utatoka tu,mara utawasikia kaza mkuu ndio maisha.
 
Back
Top Bottom