Umaarufu unawapeleka watu kwenye shida

Umaarufu unawapeleka watu kwenye shida

JAKUMWI mbona alianza kushikishwa ukuta mdomdo tangu pale kile chuo Morogoro ambacho yeye anadai hakusoma wakati alifukuzwa kwa utapeli ndio akaja Dar kuanza pale Mlimani..

Hizi tabia anazo tangu anakaa kwa dada yake Nanenane Morogoro sema ndio hivyo hakuwa serious na kazi yake hii kufika mjini ndio akaamua akabidhi ubingwa jumla kwa wakubwa..Mji mzito sana huu
Kwa hiyo jamaa kapoteza ubingwa
 
Wanataka kila mtu awe kapigika kama wao ili waanza kujifariji wao kwa kukufariji wewe,sijui pambana mwanangu utatoka tu,mara utawasikia kaza mkuu ndio maisha.

Swala la kuwa na maisha na kuliwa ni vitu tofauti.

Kwahiyo tumsifu mtu kwa kuamua kukandwa ili arahisishe maisha na asiwe kama vijana wengine wanaokomaa[emoji1][emoji1]
 
Kuwa na pesa hakumzuii mtu kuwa choko, kuwa na mke hakumzuii mtu kuwa choko(wako mchicha mwiba wengi tu yaani wale wanaokula na kuliwa na ndoa zao zinadumu tu), kuwa kwake choko hakulazimishi kwamba na chawa wenzake nao lazima wawe machoko kwani uchoko ni tabia ya mtu binafsi.
Kuhusu yeye kuwa choko kwangu mimi sina uhakika kwani mjini mtu anaweza akazushiwa kitu mpaka kikaaminika lakini pia siwezi kumtetea kwamba si choko ilhali nimeanza kusikia uvumi wa kuwa analiwa jicho tokea enzi zile yuko pale THT akifanya kazi chini ya Ruge, naweka probable chances 50/50 kwa kuwa sina ushahidi wa kumuhukumu na wala sina ushahidi wa kumtetea.
Wewe jamaa ni shoga.
 
Back
Top Bottom