Umaarufu unawapeleka watu kwenye shida

Kama hauna permanent job au permanent business muda haungojei mtu, machoko wapo wanaowini kwa uchoko(madhara wakija kukutana nayo watajijua wenyewe) na wapo machoko njaa yaani kama ilivyo kwa malaya kwani wapo wanaoliwa kwa kununuliwa magari au kopewa nyumba lakini pia wapo wanaoliwa kwa chips kavu.
Rumours zipo na katika kukua kwangu TZ niliwafahamu machoko kadhaa(zamani hizo you can imagine), machoko wa ushuani na pia machoko machafuchafu wa uswahilini, hivyo ukweli ni kwamba machoko wapo sana tu japo tofauti ni kubwa na Western Countries kwani huku wako waziwazi na wanaona sifa mbele ya jamii kuwa machoko kwa kuwa jamii inaukumbatia huu ushenzi.
 
Kijana Graduate wa Udsm mwenye kiherehere na Ujuaji mwingi, yuko mawinguni anabwabwaja.

Yule ukimshikisha Pesa hata hadharani anaweza kukupa masege. Maana kwa mwanaume kujipendekeza kiasi kile ni walakini mkubwa.
Mwijaku
 
Mzee wa kaulia.
 
Mwijaku umekuja
 
Acha wivu mkuu, na wewe una masege mbona
 
Wee nae Mwijaku ni bottom, mbna iko wazi lol.
 
Wee nae Mwijaku ni bottom, mbna iko wazi lol.
Crush wangu sikupingi nachosema watu wasikariri mtu akiwa na pesa basi hana marinda . Isikaririwe. Yaani wa stick to the point wasihushishe maisha binafsi.
 
Sema kuna nyingine inatembea video huko mjini Instagram Hakika Ruben anapakuliwa na kinasa msukuma hatari sana hii bongp
 
Kibongo bongo ukionekana na maisha kidogo tu unaambiwa Freemason au Shoga Daaah wabongo sijui chuki na wivu tutaacha lini aisee hatupendi kabisa mafanikio ya wenzetu wakitoboa maisha huu ni uzushi na chuki ya waziwazi
Wanataka kila mtu awe kapigika kama wao ili waanza kujifariji wao kwa kukufariji wewe,sijui pambana mwanangu utatoka tu,mara utawasikia kaza mkuu ndio maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…