Umaarufu unawapeleka watu kwenye shida

Kwa hiyo jamaa kapoteza ubingwa
 
Wanataka kila mtu awe kapigika kama wao ili waanza kujifariji wao kwa kukufariji wewe,sijui pambana mwanangu utatoka tu,mara utawasikia kaza mkuu ndio maisha.

Swala la kuwa na maisha na kuliwa ni vitu tofauti.

Kwahiyo tumsifu mtu kwa kuamua kukandwa ili arahisishe maisha na asiwe kama vijana wengine wanaokomaa[emoji1][emoji1]
 
Wewe jamaa ni shoga.
 
Hii nchi ukitoka miaka miwili tu ukirudi unaweza usielewe Lugha inayozungumzwa

Marinda >> Speaker >> Masega.
Aisee! Nimecheka sana mpaka machozi. Unabaki kushangaa, kwani hawa wanaongea lugha gani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…