Umaarufu wa Ali Kiba unaishia Kibaha huku mikoani watu hawamjui kabisa.. Mikoani Diamond ni maarufu kupita wanamuziki wote wa Tanzania kwa sasa.. Wivu wa mafanikio ya Diamond unawatesa sana vijana wa Dar.
Mi nipo bukoba huku wananiambia ally kiba wanamjua kutokana na diamond lakini hawajui hata nyimbo yake moja
Mwanza hakuna hotel ya hadhi yangu hapa niko kwenye party.!!!!!!
Diamond umeanza tena dharau zako!
nyie chonganisheni tu watakuja kuuana hao maana mtu mzima kuzomewa mbele ya davido tz to lagos ni aibu kubwa tena nchini kwako maana heshima ya mtu inaanzia nyumbani
maneno ya mkosaji tu.......basi mwambieni huyo Diamond atoke nje ya gemu kwa muda kama aliotoka Ally K kisha akirudi akikubalika kama Ally naenda kupanga nyumba kimbiji na kazi nitafanyia Kibaha
Maneno ya mkosaji haya hamna mlitaka mwenzenu asi shine riziki mafungu labda mkazibe angani huu ndo mda wake ngoma ikivuma sana hupasuka kiba aki shine kosa hiyo ni jealous aliye juu mgoje chini
maneno ya mkosaji tu.......basi mwambieni huyo Diamond atoke nje ya gemu kwa muda kama aliotoka Ally K kisha akirudi akikubalika kama Ally naenda kupanga nyumba kimbiji na kazi nitafanyia Kibaha
nyie chonganisheni tu watakuja kuuana hao maana mtu mzima kuzomewa mbele ya davido tz to lagos ni aibu kubwa tena nchini kwako maana heshima ya mtu inaanzia nyumbani
Hahahaaaaaa,aah wapi...thubutu yake hapo alipo kichwa kinauma atoe wimbo gani wa kushindana na mwana maana hicho kitorondo kimebuma...
Mmmh,mwenzangu hadi mimi imani ilinijia,japo simpendi lakini nilitamani wanyamaze pale mbele ya davido....looh!!!
mafukara wa dar utawajua tu