Umaarufu wa Ali Kiba mwisho Kibaha

Umaarufu wa Ali Kiba mwisho Kibaha

Umaarufu wa Ali Kiba unaishia Kibaha huku mikoani watu hawamjui kabisa.. Mikoani Diamond ni maarufu kupita wanamuziki wote wa Tanzania kwa sasa.. Wivu wa mafanikio ya Diamond unawatesa sana vijana wa Dar.

Hivi ally kiba ana nyimbo mbona sijawahi zisikia??..nimeanza kumskia baada ya kuwa na bifu na Dimond
 
nyie chonganisheni tu watakuja kuuana hao maana mtu mzima kuzomewa mbele ya davido tz to lagos ni aibu kubwa tena nchini kwako maana heshima ya mtu inaanzia nyumbani
 
Kwani yeye daimond alipandishwa na nani? Alipandishwa na mashabiki hao hao na ndio hao hao watakaye mshusha na kumpandisha alikiba
 
Wla alikiba hatumiwi ila ni dharau ya huyo daimondi ndio zitamfikisha huko
 
maneno ya mkosaji tu.......basi mwambieni huyo Diamond atoke nje ya gemu kwa muda kama aliotoka Ally K kisha akirudi akikubalika kama Ally naenda kupanga nyumba kimbiji na kazi nitafanyia Kibaha
 
Maneno ya mkosaji haya hamna mlitaka mwenzenu asi shine riziki mafungu labda mkazibe angani huu ndo mda wake ngoma ikivuma sana hupasuka kiba aki shine kosa hiyo ni jealous aliye juu mgoje chini
 
hahaaAAhaaaa
 
baelezeerrrrererrrrr
 
maneno ya mkosaji tu.......basi mwambieni huyo Diamond atoke nje ya gemu kwa muda kama aliotoka Ally K kisha akirudi akikubalika kama Ally naenda kupanga nyumba kimbiji na kazi nitafanyia Kibaha

Hahahaaaaaa,aah wapi...thubutu yake hapo alipo kichwa kinauma atoe wimbo gani wa kushindana na mwana maana hicho kitorondo kimebuma...
 
nyie chonganisheni tu watakuja kuuana hao maana mtu mzima kuzomewa mbele ya davido tz to lagos ni aibu kubwa tena nchini kwako maana heshima ya mtu inaanzia nyumbani

Mmmh,mwenzangu hadi mimi imani ilinijia,japo simpendi lakini nilitamani wanyamaze pale mbele ya davido....looh!!!
 
Hahahaaaaaa,aah wapi...thubutu yake hapo alipo kichwa kinauma atoe wimbo gani wa kushindana na mwana maana hicho kitorondo kimebuma...

mwana ndio nyimbo gani sijawahi kuisikia popote
 
Back
Top Bottom