the loaded
Senior Member
- May 19, 2018
- 155
- 319
ulipenda au kutaka apewe sifa zipi?
nasuburi ajibu swali nililomuuliza tujue uwezo wake wa kufikiri.Kama umekosa contents za kuandika bora utulie tu, si lazi!a kila mmoja aanzishe uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia kusoma thread, maana utakuwa hujaelewa!Kama umekosa contents za kuandika bora utulie tu, si lazi!a kila mmoja aanzishe uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio watu tatizo ni kifo chenyewe. Kifo kina tabia zake ambazo hazibadilishiki.Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop Golden Mbunda maarufu Godzilla baada ya kufariki ndipo wengi watamfahamu na kutaja sifa zake.
Ni tabia ya 'kipuuzi' iliyozoeleka Mara mtu anapofariki ndipo tunakumbuka umuhimu na mchango wake katika nyanja inayomuhusu na wengine wana kwenda mbali na kuthubutu kupokea michango ya rambirambi kwa ajili ya manufaa yao binafsi, hii ni aibu isiyo na kifani!
Nimeona katika mitandao mbalimbali watu wame-publish video clip za interview na michano ya Godzilla wakiwa na maana ya kukumbuka, kutambua na kuthamini kazi na mchango wake katika muziki, na hii imetokea baada ya Kifo chake!
Hoja yangu ni kuwa kwa nini mambo Haya yasifanyike angali mtu akiwa hai, kwani kwa jinsi inavyofanyika sasa haiwezi kumnufaisha kwa jinsi yoyote,,,,,Tunaweza kujifunza!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu ni ujinga mwingine uliouleta.
kwa hyo ulitaka alipokuwa hai.
TUKAE MUDA WOTE TUNAMSIFIA YEYE?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umesema maarufu kama ilikuwa hajulikani ? Fame without known can't be possible broMsanii maarufu wa muziki wa Hip Hop Golden Mbunda maarufu Godzilla baada ya kufariki ndipo wengi watamfahamu na kutaja sifa zake.