Umaarufu wa 'Godzilla' baada ya Kifo!

Umaarufu wa 'Godzilla' baada ya Kifo!

Mkuu kuna mambo hubaki vile vile hata ufanye jitahada na juhudi zipi kuyabadilisha, mfano moja wapo ni hilo. ndio maana hakujawahi kuwepo Mtakatifu aliye hai. hapo ulipo hata ufanya jema na zuri lipi kuna watakao kupinga au kukukosoa. Cha msingi usisubiri shukrani au kusifiwa ukiwa hai. play your part and leave the word peaceful, thats all.
 
Haya malalamiko huwa yanashangaza mno.

Godzilla 'zizi' angekuwa wamemsahau asingekuwa anapewa hata interviews. Just week iliyopita alikuwa ametoa ngoma na ngoma haikuwa nzuri, ni kama ka-freestyle tu... Na freestyle haikuwa ile ya old zizi... Lakini pamoja na yote alipewa airtime ndefu na ya kutosha. Sio wiki hiyo tu, amekuwa akifanya interviews kibao , either studio au anafatwa. Coverage yake ilikuwa fresh tu, ukizingatia alikuwa hata hatoi ngoma kali tena. Nashindwa kuelewa huwa mnataka mtu a-support-iwe kwa namna gani.

Ukija kwa mashabiki, walikuwa wanamkumbuka ndo maana hata hapa JF kuna thread kibao za kujadili afya ya akili ya jamaa. Hiyo ni Love. Bila unafiki. Mnaolalamika ndo wanafki maana mlikuwa hamfuatilii wala kutilia maanani ishu zake ndo maana mnaona alikuwa ha-support-iwi.

Mi sidhani ni kirahisi kumuenzi kila mtu wakati akiwa hai. Huo muda watu hawawezi kuupata. Ndo maana support ya mara moja moja ni nzuri na imeuwa ikifanyika.

Kwa hiyo, kama alivyosema, Zellax!
 
Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop Golden Mbunda maarufu Godzilla baada ya kufariki ndipo wengi watamfahamu na kutaja sifa zake.

Ni tabia ya 'kipuuzi' iliyozoeleka Mara mtu anapofariki ndipo tunakumbuka umuhimu na mchango wake katika nyanja inayomuhusu na wengine wana kwenda mbali na kuthubutu kupokea michango ya rambirambi kwa ajili ya manufaa yao binafsi, hii ni aibu isiyo na kifani!

Nimeona katika mitandao mbalimbali watu wame-publish video clip za interview na michano ya Godzilla wakiwa na maana ya kukumbuka, kutambua na kuthamini kazi na mchango wake katika muziki, na hii imetokea baada ya Kifo chake!

Hoja yangu ni kuwa kwa nini mambo Haya yasifanyike angali mtu akiwa hai, kwani kwa jinsi inavyofanyika sasa haiwezi kumnufaisha kwa jinsi yoyote,,,,,Tunaweza kujifunza!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio watu tatizo ni kifo chenyewe. Kifo kina tabia zake ambazo hazibadilishiki.
 
Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop Golden Mbunda maarufu Godzilla baada ya kufariki ndipo wengi watamfahamu na kutaja sifa zake.

Ni tabia ya 'kipuuzi' iliyozoeleka Mara mtu anapofariki ndipo tunakumbuka umuhimu na mchango wake katika nyanja inayomuhusu na wengine wana kwenda mbali na kuthubutu kupokea michango ya rambirambi kwa ajili ya manufaa yao binafsi, hii ni aibu isiyo na kifani!

Nimeona katika mitandao mbalimbali watu wame-publish video clip za interview na michano ya Godzilla wakiwa na maana ya kukumbuka, kutambua na kuthamini kazi na mchango wake katika muziki, na hii imetokea baada ya Kifo chake!

Hoja yangu ni kuwa kwa nini mambo Haya yasifanyike angali mtu akiwa hai, kwani kwa jinsi inavyofanyika sasa haiwezi kumnufaisha kwa jinsi yoyote,,,,,Tunaweza kujifunza!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umesema maarufu kama ilikuwa hajulikani ? Fame without known can't be possible bro
 
Back
Top Bottom