Umaarufu wa Tanzania na CCM aliotuachia Magufuri, mama anaushusha kwa kasi kubwa

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Niseme kwamba kalibu kila mtu alimpenda Magufuri watu na raia wa inje walimpenda pia,kila mtu huku inje alikuwa akikuona umetoka Tanzania atataka kukuuliza habari za magufuri,aliipaisha kwelikweli Tanzania na CCM
Lakini sasa mama anaiharibia inchi,tunavuma kwa mabaya,tunatia aibu,tunatukanwa kwa ajili yake,tumegawika si wamoja tena,CCM inaanguka imebakiwa na machawa tu,kama huamini pitia kwenye mitandao ya kijamii
Ukitaka kuiharobu shughuli yako basi muhusishe huyu Mama walahi watu watakususia
mfano mechi ya Simba ya kesho kutwa imeshapoteza mvuto kalibu kila mtu anaombea simba ifungwe
 
Kitu asichojua huyu mama ni kuwa kma Magufuli angekuwa hai wala asingekuwa anahangaika na huo Urais coz muda wake ulikuwa unakoma!!.
Ni katiba ya hovyo imemfanya awe hapa lakini bado hajitambui.
 
Wanasiasa wanapenda sana sifa, kitendo chao cha kupenda sifa kinafanya wasitafute hata sehemu isiyostahili na hilo ni kosa kubwa sana. Sifa huwa zinajileta
 
Magufuli alipaisha Dunia nzima.

Kila kona ni MAGULIFICATION.

SSH ametambua hilo too late
 
Wanasiasa wanapenda sana sifa, kitendo chao cha kupenda sifa kinafanya wasitafute hata sehemu isiyostahili na hilo ni kosa kubwa sana. Sifa huwa zinajileta
Kweli kabisa. Ukiwafuatilia kina Trump unaona ni wazi.
 
Wasukuma wanasema mwanamke kazi yake kulea watoto na kuwachapa.
Sio uwongozi
 
Niseme kwamba kalibu kila mtu alimpenda Magufuri watu na raia wa inje walimpenda pia,kila mtu huku inje alikuwa akikuona umetoka Tanzania atataka kukuuliza habari za magufuri,aliipaisha kwelikweli Tanzania na CCM
Lakini sasa mama anaiharibia inchi,tunavuma kwa mabaya,tunatia aibu,tunatukanwa kwa ajili yake,tumegawika si wamoja tena,CCM inaanguka imebakiwa na machawa tu,kama huamini pitia kwenye mitandao ya kijamii
Ukitaka kuiharobu shughuli yako basi muhusishe huyu Mama walahi watu watakususia
mfano mechi ya Simba ya kesho kutwa imeshapoteza mvuto kalibu kila mtu anaombea simba ifungwe
Mitano aliyokaa kama makamu wa raisi na mitano ya uraisi inamtosha apishe na wengine nao watuongoze why anang'ang'ania tena kwa kuumiza watu.
 
Back
Top Bottom