Hii ndio think tank ya Lumumba ππ π
Jitu Zima unaleta mada za wanafunzi
Kuiongelea REFORM ya tabia ya wajumbe wanaohusika katika mambo mazito ni UHOVYO?!!!Utu uzima wote unaleta mada za hovyoo hivi??
Kwa waliotoa rushwa picha na video zao zipo mahali salama na kamwe hawatapenya
Atakuwa ameonja Tamu Chungu ya Wajumbe bila shaka!!
[/QQU
Wajumbe ni sawa na NGARIBA ukimkwepa unabaki kuwa STERINGI WA KIHINDI bwana GOVINDER.
Umri wake na hiki alichokileta dah!! Huyu ndio anaweza kushauri sera za chama kweli?Loooh sasa unataka alete mada za ROCKET SCIENCE?!!ππ
Kwasababu TU na wanaopatikana kutokana na huo mchakato ni was hovyooππKuiongelea REFORM ya tabia ya wajumbe wanaohusika katika mambo mazito ni UHOVYO?!!!
Kweli jingalaoooMada ya hovyo kwa muktadha upi?
Hebu waachie Great Thinkers watakuwa wamenisoma katikati ya mistari.
Hivi Rushwa unadhani ni jambo la kimzahamzaha lisilokuwepo katika nchi za wenzetu zilizoendelea kisiasa na kiuchumi?!!!Kama ni hivyo ccm itakuwa haina wagombea. Badala ya PCCB kufanya kazi yake, mnasubiri kamati ya wanasiasa kukata watu kwa kisingizio cha rushwa! Mtoa rushwa anatakiwa awe jela na sio kuweka picha yake kwenye ipad ya Polepole.