Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Asee wale wabunge zaidi ya 50 waliokuwa bunge lililopita wameCHAKATWA na kukatwa kihovyo?!!!Kwasababu TU na wanaopatikana kutokana na huo mchakato ni was hovyoo😂🏃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee wale wabunge zaidi ya 50 waliokuwa bunge lililopita wameCHAKATWA na kukatwa kihovyo?!!!Kwasababu TU na wanaopatikana kutokana na huo mchakato ni was hovyoo😂🏃
Hivi Rushwa unadhani ni jambo la kimzahamzaha lisilokuwepo katika nchi za wenzetu zilizoendelea kisiasa na kiuchumi?!!!
Unapoongelea RUSHWA YA PESA NA NGONO.. jua kuwa haiko tu kwa baadhi ya wajumbe wa CCM bali hata vyama vya upinzani na huwa SIRI SANA KATI YA MTOA NA MPOKEA...
😂😂😂Wajumbe sio watu wazuri kabisa ukitaka kujua hilo waulize watia nia watakuambia unapiga story na mtu vizuri lakini kura akupigii alafu ukitoka nje anakuomba Selfie kama sio yy alikuwepo ndani 😂😂😂😂
Shukrani kwa Wajumbe kwa kutoa maoni yenu
Habari za wajumbe wanazo watia nia waliohamia CCM kutoka upinzani
Hata huko unakowapa sifa ya Kupambana dhidi ya rushwa kwa kiwango bora, bado rushwa haijesha.....Rushwa ni jambo la siri sana sehemu ambayo kuna vita ya kweli ya kupambana na rushwa, na sio hii vita ya rushwa ya kukomoa watu, ili kusaka mtaji wa kisiasa na propaganda mfu. Kwahiyo utetezi wako wa hii rushwa ya wazi ya ccm juzi, ni kuwa hiyo rushwa haiko ccm tu, bali iko hadi upinzani!? Kwa huu utetezi wa kijinga ni bora ungekaa kimya tu.
Sawa tu Kwani kuna anayesema tumeletwa duniani ili tufanikishe kwenda BUNGENI?!!Leo nasikia Lijualikali kaonekana ana fanyia service boda boda zake ili arudie kazi yake anayo iweza
Hasa hasa BashiteWatu wengi hawawezi kuwasahau.
Huyu alikuwa ni mtaalamu wa maktaba na sio mwendesha bodaboda
Hata huko unakowapa sifa ya Kupambana dhidi ya rushwa kwa kiwango bora, bado rushwa haijesha.....
Usiwashambulie baadhi ya wajumbe wa CCM ilihali rushwa ni dhambi...dhambi ya mtoa na MPOKEA......
Japo reform nzuri waliyonayo PCCB lakini BADO Kuna maeneo WANATETEREKA....yote kwa kuwa RUSHWA huhusisha HULKA YA TAMAA ya baadhi yetu wanadamu........