kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
wajinga waliohamia ccm ili kujipatia vyeo wamesaidia kuwapa umaarufu wajumbe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika mchakato wa uchaguzi wa awali ndani ya CCM unaoendelea maeneo mbalimbali pameibuka msemo maarufu kuhusu wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika ngazi mbalimbali za kimaamuzi ndani ya CCM.
Je, wajumbe ni kina nani haswa?
Je,roho zao ndivyo zilivyo kama wanavyosemea?
Weka neno moja tu kuhusu wajumbe
Leo nasikia Lijualikali kaonekana ana fanyia service boda boda zake ili arudie kazi yake anayo iweza
HahhahahaLeo nasikia Lijualikali kaonekana ana fanyia service boda boda zake ili arudie kazi yake anayo iweza
Katika vitu vitakavyo mtesa sana Bashite maisha yake yoote hapa duniani ni wajumbe wa kigamboniWajumbe wameleta heshima sana nchini
Labda mjumbe wa wajingaKwa sasa niite mjumbe
Hili likizingatiwa CCM watakuwa wamefanya kitu kikubwa sanaKwa waliotoa rushwa picha na video zao zipo mahali salama na kamwe hawatapenya