umachinga ni tatizo nasiyo fursa kama unavyodhani

umachinga ni tatizo nasiyo fursa kama unavyodhani

TANZANIAN NINJA

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Posts
456
Reaction score
534
umachinga unahusika na ufanyaji biashara ndogondogo zikihusisha uzaji wa bidhaa za viwandani hasa kutoka mataifa ya mbele.
biashara hii miaka mingi imekuwa inaendeshwa kiholela bila kuzingatia uzalendo na athari za kiuchumi.

Umachinga unazorotesha uchumi wa nchi, machinga ni mawakala wa kukuza soko la bidhaa za nje ya nchi kuliko soko la bidhaa zinazotengenezwa ndani ya nchi.

wamachinga wengi ni watu wavivu waliokosa ubunifu, wengi wa machinga ni vijana waliokataa shule na waliokimbia jembe kijijini.

kwabahati mbaya zaidi machinga ni mtaji kwa wanasiasa kwenye kapeni za uchaguzi.

Haya ni maoni yangu, matusi na povu ruksa.
 
Tuna viwanda vya bidhaa Sasa kutengeneza pamba za masikio,urembo,vitu vya watoto n.k..
Acha dharau umachinga ni Kama duka linalotembea angalia waha wanavyopiga pesa na wanalisha familia na wake zao
 
Back
Top Bottom