Umafia katika Usajili: Simba SC yamsainisha Niyonzima kwa Mil.100 huku Yanga FC ikipigwa butwaa

Saaaafi Simba.Hapo in maandalizi ya kupanda ndege, lazima tuwanyang'anye wachezaji wazoefu wa kupeperuka angani. Mlitaka tukasajili toka Majimaji??? Au Kurugenzi ya Njombe?
 
Bahati mbaya sana mnakuwa hamna mchezaji bora Yanga ila lazima watoke Simba.. Sasa wasajili nini?
Katika miaka 5 iliyopita hamjachukua ubingwa while Yanga amechukua mara 4 sasa hao wachezaji bora mlio nao wanafanya kazi gani ?
 
Niyonzima yupi aliesaini simba.....huyu huyu wa rwanda au siku hizi tandale nako kuna niyonzima???????.....nyie mashabiki wa mezani fc mkae mkijua niyonzima ni mchezaji wa yanga na tayari ameshaongeza mkataba wa miaka miwili
 
Sio kwa kipindi hiki ambacho yanga ina hali mbaya kiuchumi
Sio wote ambao huwa wananunuliwa wengine huwa wanakuja free Barthez,Yondani,Tambwe,Kessy hawakununuliwa mikataba yao iliisha wakaja free
 
sawa kwani yeye hajui ukata na mabalaa yaliyoko simba
Yaani wachezaji wote waliosajiliwa wamepewa nini kama si noti pale Msimbazi

Ukata uko Jangwani mkuu tena ile mbaya.
 
Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Huku bongo timu huwa zinangoja mchezaji amalize mkataba wake ndio zinamchukua wakati ulaya watu wanavunja mkataba ndio maana wanalipa kwa klabu
 
Yaani wachezaji wote waliosajiliwa wamepewa nini kama si noti pale Msimbazi

Ukata uko Jangwani mkuu tena ile mbaya.
sawa tutaona yaani nipashe awe source kushinda blog zote za umbea bongo itakuwa maajabu ya kichina haya
 
Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Kuna mchezaji huru na mchezaji mwenye mkataba.
 
Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Nafikiri TFF wana taratibu zao ambazo ziko tofauti na kwingineko? Au Niyonzima alikuwa ni free agent kwa maana kuwa mkataba wake na Yanga ulikuwa umeshamalizika? Kama mkataba ulikuwa umeshamalizika na hajakubali kuongeza mwingine basi Yanga inakuwa haina haki ya kupata malipo yoyote. Ila kama mkataba uikuwa umebakiza hata masaa machache, anakuwa bado amefungwa na hawezi kusaini mkataba mwingine. Sasa hapo inategemea ukweli ni upi.
 
Katika miaka 5 iliyopita hamjachukua ubingwa while Yanga amechukua mara 4 sasa hao wachezaji bora mlio nao wanafanya kazi gani ?
Ubingwa wa hujuma kwa timu nyingine nao ni ubingwa? Kama si saidia baba TFF..!

Mara nyingi Simba imenyang'anywa point na Chama chenu.
 
Hivi yule mwanafunzi wa Yesu ambae Yesu alipowatokea wanafunzi wake akawa haamini kama ni Yesu wa kweli alikua anaitwa nani
Aliitwaga Tomaso.

Na wewe ni Tomaso?

Let's join Team Doubting Thomases!
 
Tunamchukua Humid Mao anatua jangwani atafanya kazi bora zaidi ya Niyonzima wana yanga tutulie tu tuna kikosi kizuri
 
Milion 100 kibongobongo kama hajajenga akaweke msingi kabisa kwao huko..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…