Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
-
- #121
Mbona unapuyanga tuu.. Hueleweki, tuko katika uwanja mara unaruka hadi FIFA, na kama unaleta habari za Rage hapa, Unakumbuka Katibu Mkuu wa Cecafa Nicolas Musonye, aliwaambia nini nyinyi Yanga? Yaonyesha unajiongelea tu. Achilia mbali soka la ridhaa enzi za akina Zamonyoni Hivi hujui kuwa Kaseja alitumika sana Simba halafu mkamnunua kwa bei Yanga, sasa la ajabu lipi Niyonzima kwenye Simba..Anayetumia nguvu nyingi ni wewe unayebold maneno wakati hoja iko wazi. Kwani unadhani Rage alikosea aliposema wengi wenu MBUMBUMBU? Mmedanganywa kuwa FIFA watawapa ubingwa mkakaa kama misukule nmkisubiri, sasa picha limefika kikomo mnadanganywa kwa usajili wa Niyonzima...hata Hamisi Kiiza si alikuja kwa mbwembwe hizi hizi?
Kila la kheri Niyonzima, soka umeshapiga sasa ni wakati wa kula pensheni. Siku zote tutabadilishana vijana kwa vibabu, karibu Ajib...njoo upande ndege.
This is Simba bhana