Umafia katika Usajili: Simba SC yamsainisha Niyonzima kwa Mil.100 huku Yanga FC ikipigwa butwaa

Umafia katika Usajili: Simba SC yamsainisha Niyonzima kwa Mil.100 huku Yanga FC ikipigwa butwaa

Anayetumia nguvu nyingi ni wewe unayebold maneno wakati hoja iko wazi. Kwani unadhani Rage alikosea aliposema wengi wenu MBUMBUMBU? Mmedanganywa kuwa FIFA watawapa ubingwa mkakaa kama misukule nmkisubiri, sasa picha limefika kikomo mnadanganywa kwa usajili wa Niyonzima...hata Hamisi Kiiza si alikuja kwa mbwembwe hizi hizi?

Kila la kheri Niyonzima, soka umeshapiga sasa ni wakati wa kula pensheni. Siku zote tutabadilishana vijana kwa vibabu, karibu Ajib...njoo upande ndege.
Mbona unapuyanga tuu.. Hueleweki, tuko katika uwanja mara unaruka hadi FIFA, na kama unaleta habari za Rage hapa, Unakumbuka Katibu Mkuu wa Cecafa Nicolas Musonye, aliwaambia nini nyinyi Yanga? Yaonyesha unajiongelea tu. Achilia mbali soka la ridhaa enzi za akina Zamonyoni Hivi hujui kuwa Kaseja alitumika sana Simba halafu mkamnunua kwa bei Yanga, sasa la ajabu lipi Niyonzima kwenye Simba..

This is Simba bhana

What is so special about Simba kiasi kila saa ubane pua this is thimba bwana!

Musonye hawezi kuwajua wanayanga kiasi ambacho Rage anajua Simba ni mbumbumbu.
 
What is so special about Simba kiasi kila saa ubane pua this is thimba bwana!

Musonye hawezi kuwajua wanayanga kiasi ambacho Rage anajua Simba ni mbumbumbu.
Kujibu hoja huwezi ila mipasho ndo uwezayo! Hapa hakuna taarabu nakuliza tena, Je uwanja ulijengwa? au mmeanza na kufuga Samaki kwanza?

Huwezi kujibu peleka kwenu ujuha wako huko

... This is Simba wewe.!
.. Slogan
 
Kujibu hoja huwezi ila mipasho ndo uwezayo! Hapa hakuna taarabu nakuliza tena, Je uwanja ulijengwa? au mmeanza na kufuga Samaki kwanza

Huwezi kujibu peleka kwenu ujuha wako huko

... This is Simba wewe.!
Mbona unapaaaanic...povu jiiiingi! Hiyo kwenye bold ndio taarabu na mipasho. Si ajabu wakati unaandika kidole cha mwisho kilikuwa juu na kimepakwa rangi ya kucha.

Aliyetuambia Wanayanga kuhusu uwanja hakusema ataujenga msimu huu zaidi ya kusema kuwa tunapaswa kuwa na uwanja. Nyie manyumbu mlidanganywa kwamba kazi imeanza, mkabeba makwanja na majembe kwenda kupalilia ardhi huku mbegu ya viazi bado iko Gairo. Mkaahidiwa na ubingwa pia. Kwa mlivyo wasahaulifu mkasahau kuwa ubingwa mwenyewe nani.

By the way, ujuha ni hali ya kufikiri kuwa unaweza kupigwa 2-1 uwanjani halafu ukaenda kusawazisha mezani.
 
Sasa mbona unaeleza tofauti na alivyosema Manji mwaka 2012..?! ilhali wewe ni ShikaShika Miguu Manji FC tu. Yaani Kama vile Bakharesa aseme kuwa Azam FC, tunapaswa kuwa na uwanja lakini si mwaka huu ndo maneno gani? Yaingia akilini kweli? Ni ahadi au miadi? Habari za kujenga uwanja Manji na kuifanya kuwa Klabu Bora Afrika, ziko tele baadhi ya Blog na sasa amesepa, halafu unasema uongo hapa..!

Naona nikuache tu uendelee na na Ujuha wako. Kwa vile Nicolas Musonye hakukosea kusema vile

Na hili la kupigwa katerero na kukimbilia mezani, sio ujuha?
 
Na hili la kupigwa katerero na kukimbilia mezani, sio ujuha?
Sasa kama Unashindwa kujenga hoja na kukimbilia matusi, bado hujajishtukia tu kuwa umegeuka kituko kwenye hii thread? Na wala unisumbui kwa vile fuse yako moja ninayo huku.

This is Simba... Slogan!
 
Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
mkuu hela inapewa timu yake kama mchezaji bado yupo ndani ya mkataba kama mchezaji yupo Huru mzigo wote wakwake,,....hapa bongo wachezaji wanaondoka kwene timu zao wakimaliza Mikataba yao wanakua huru ndo maana wanachukua hela wao
 
Akiwa Yanga anaitwa gharasha akiwa simba anaitwa Fundi hii ndo bongo
 
Mi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??
Ulaya Mchezaji anakua bado ana mkataba na timu, mfano kwa sasa still CR7 ana mkataba na Real madrid lakini Manchester wanamtaka hivyo hivyo hata kwa kuvunja mkataba, hapo lazimawavunje kibubu tu.

Lakini huku tunasubiri mpaka mchezaji awe huru ndio anasajiliwa. Hapo mnapata tu na mchezaji lakini sio timu
 
Ndio maana hatutaendelea katika mchezo wa soka.
Why hatutaendelea [emoji76]

40cd6b84180bce784604ead5ad1a6ea9.jpg
Umafia tu! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima kudaiwa kujiunga na Klabu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kupewa ofa ya shilingi milioni 100.

Habari zilizopatikana jana jioni zinasema Niyonzima amekubali kujiunga na Simba baada ya viongozi wa klabu hiyo kumpa fedha hizo za usajili.

Kwa muda mrefu tangu kumalizika kwa Ligi Kuu Bara, Niyonzima ambaye amebakisha mwezi mmoja kwenye mkataba wake na Yanga, alikuwa akihusishwa kutaka kujiunga na Simba SC.

Taarifa zinadai kuwa Simba waliongea na Niyonzima kabla hajaenda Rwanda kujiunga na timu yake ya Taifa, lakini akataka viongozi hao kuwasiliana na wakala wake ambapo Simba walifanya hivyo na kupewa dau walilokuwa wakilitaka.

Aidha, Yanga iliwasiliana na Niyonzima akiwa Rwanda baada ya kusikia Simba wamewasiliana naye na hivyo wakamuahidi ofa nono ili asisajiliwe na Simba.

Baada ya kusikia Yanga wamewasiliana na Niyonzima, Simba walimtuma mtu kwenda Rwanda kufanya mazungumzo na mchezaji huyo, lakini wakala wake aliwataka wamsubiri Niyonzima Dar es salaam kwa kuwa alikuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa.

Niyonzima alipowasili nchini juzi usiku alipokelewa na kigogo mmoja wa Simba huku Yanga wakiwa hawafahamu kama nyota huyo ametua nchini.

Imeelezwa Yanga walimuandalia nyota huyo dau la milioni 60 ili asaini mkataba wa miaka miwili, lakini tajiri mmoja wa Simba alimuhakikishia kumpa dau la shilingi milioni 100.

Kabla ya kupewa dau hilo, Yanga waliongezea dau lao na kufikia shilingi milioni 80 ambazo hata hivyo, hazikumshawishi Nahodha huyo wa Rwanda kusaini nao mkataba mpya.

Chanzo: Nipashe
 
Shida ya Simba Koko ni mdomo wakati wa usajili, lakini tukifika uwanjani mnamshushia lawama Malinzi. Kwani Hamisi Kiiza si tuliwauzia sisi pia? Yuko wapi?

Sisi Tambwe wetu tunaye na anatupia mijibao na nyinyi ni mashahidi. Endeleeni kupiga mdomo, sisi tunaelekea ubingwa wa 28
Kichuuuuyaaaa !!!!!KudadadadadAaaa.HT simba wawe 7 Uwanjani
 
Sasa kama Unashindwa kujenga hoja na kukimbilia matusi, bado hujajishtukia tu kuwa umegeuka kituko kwenye hii thread? Na wala unisumbui kwa vile fuse yako moja ninayo huku.

This is Simba... Slogan!
Matusi yako wapi? Hapa tuko mimi na wewe, mbona hujiamini wewe? Hoja ni kuniita juha?

Kataa kama hamkukung'utwa 2-1 mkakimbilia kushitaki. Unashilikilia fuse zangu huku za kwako ziliungua kitambo. Next time andika HUNISUMBUI sio unisumbui.

13232966_1152375461471652_161219220607164837_n.jpg
 
Back
Top Bottom