The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Hili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari.
Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna watu bado wanaamini rais wa awamu ya 5 alikufa kwa covid au heart disease kama walivyodai?
Ni hatari sanaAlipigwa chini JPM....CCM NI janga...wanawejeana sumu kila siku
Kweli watu kama wanyama linapokuja swala la maslahi binafsi.Kuna namna ilifanyika aseeh
Hatutaki kuamini, tunataka kujua.Hili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari.
Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna watu bado wanaamini rais wa awamu ya 5 alikufa kwa covid au heart disease kama walivyodai?
Waache wafu wazike wafu wenzao..naye alikua muosha...karma ina tabia ya kwenda mbele na nyumaHili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari.
Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna watu bado wanaamini rais wa awamu ya 5 alikufa kwa covid au heart disease kama walivyodai?
Hahahahahahaa wanajuana wenyewe hukoHili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari.
Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna watu bado wanaamini rais wa awamu ya 5 alikufa kwa covid au heart disease kama walivyodai?
Akawapa rungu kinasabaya na makonda wakajimwambafai watakavyoHuu michezo aliuanzisha jiwe mwenyewe
Hivi mkuu Leo ukiwa amiri jeshi mkuu...*Kifo NI kifo Tu"
"Wachawi wameshakufa"
Aliyeenda kumuona Lisu Belgium ndiye anayetaka kumnyonga Lisu Tanzania . Lisu alimkibia JPM Tz ,JPM alipofariki Lisu alirudi Ila SASA ako na Death sentence Hongereni Sana uongozi WA Belgium man intelenjisa nzuri Sana za ulinzi Kuanzia wageni Hadi wagonjwa wenu.
My take JPM hakuwai anahusikia na utekaji WA watu nchini.unabisha jiulize alipo mdude