NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Hanyongwi mtu wewe kwani alishika bunduki au ni mdomo wake tu wa kuropoka bila break?*Kifo NI kifo Tu"
"Wachawi wameshakufa"
Aliyeenda kumuona Lisu Belgium ndiye anayetaka kumnyonga Lisu Tanzania . Lisu alimkibia JPM Tz ,JPM alipofariki Lisu alirudi Ila SASA ako na Death sentence Hongereni Sana uongozi WA Belgium man intelenjisa nzuri Sana za ulinzi Kuanzia wageni Hadi wagonjwa wenu.
My take JPM hakuwai anahusikia na utekaji WA watu nchini.unabisha jiulize alipo mdude
Huyu ni public figure usije shangaa serikali inalinda hata asipate mchubuko
hizi zinaitwa political tacts
Nchi yetu hatujafikia udikteta wa aina hiyo amani tele
Niko pale na kikombe changu cha kahawa uje unipe mrejesho kesho