*Kifo NI kifo Tu"
"Wachawi wameshakufa"
Aliyeenda kumuona Lisu Belgium ndiye anayetaka kumnyonga Lisu Tanzania . Lisu alimkibia JPM Tz ,JPM alipofariki Lisu alirudi Ila SASA ako na Death sentence Hongereni Sana uongozi WA Belgium man intelenjisa nzuri Sana za ulinzi Kuanzia wageni Hadi wagonjwa wenu.
My take JPM hakuwai anahusikia na utekaji WA watu nchini.unabisha jiulize alipo mdude