Hii ni drama!Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Acha propaganda za bei ya jioni. Walichoandika Mange na Maria juu ya kadhia la Mwigulu kulishwa sumu ni tofauti kabisa na ulivyowakilisha hapa.Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
mi naona toka tuanze kuitana watanganyika ndo tunapotea zaidiKwamba Mwigulu ni msafi kwasasa? Watanganyika ni watu rahisi sana kuwatawala
Kwani nchimbi ana usafi gani?Kwamba Mwigulu ni msafi kwasasa? Watanganyika ni watu rahisi sana kuwatawala
Hakuna.rais 2030 ni mimiMwigulu ndio Rais wa 2030 hilo halina mjadala wala kona kona.
Naunga mkono hoja, Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! na https://www.jamiiforums.com/threads...-kuwasema-tuu-je-tuwataje-tuwajue-au.2440165/Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Hawa wanaharakati kina Mange Kimambi na Maria Sarungi wamejiingiza katika siasa za U Tanganyika na Uzanzibari kijinga kama mfa maji anayetapatapa, mpaka sasa wanawaona hawa waliowaita mafisadi wa CCM kuwa ndiyo wakombozi.Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
ChaiAnaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Atabaki kuwa Raisi wa mawe tu ndugu yangu. Bila kuwa na katiba mpya inayoruhusu mgombea binafsi kwa political culture ya ccm sio kitu rahisi namna hiyo.Mwigulu ndio Rais wa 2030 hilo halina mjadala wala kona kona.