Ilifutwaje kwenye simu yakoMwigulu of all the people unamfananisha na magufuli? No, no , no. Binafsi nilikuwa na shida inayohusu kodi akiwa waziri wa fedha nikampigia simu hakupokea, nikaona labda yuko busy sana ikabidi nikamtext WhatsApp na kuambatisha vielelezo husika kuthibitisha madai yangu kwa kuwa nlishapita ngazi za chini nikawa naambiwa njoo kesho njoo kesho. Hiyo text akaisoma(tick 2 za bluu) . Sikujibiwa na baada ya siku 2 ikawa imefutwa kwenye simu yangu. CCM no ile ile aliimba marehemu captain Komba...M'nyenzi Mungu amhifadhi anakostahili
Wala huhitaji nguvu wala akili nyingi. Ni watu wepesi mnooo kuwatawala.Kwamba Mwigulu ni msafi kwasasa? Watanganyika ni watu rahisi sana kuwatawala
Nimeshapigwa sana mkwaraAnaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Alishindwa kujua idadi ya waliokufa October 29, hapo imekaaje?Hii ni drama!
Never ever.Mwigulu ndio Rais wa 2030 hilo halina mjadala wala kona kona.
Waache ufyatu!!All is rubbish
Magufuli asifananishwe na huyo Muigizaji!Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Sisi tuko huku BURUNDI yeye lolote limpate tu.Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Hivi sifa binafsi (quality & qualifications) za mtu kuwa waziri mkuu ni zipi ukiacha ya lazima awe mbunge wa kuchaguliwa.Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Mtu yoyote,hata Samia mwenyewe akianza kuipigania Tanganyika kesho na akaamua kudai katiba mpya na kukemea watu kuuawa na kutekwa,kwetu sisi ni shujaa.Mtu nzima kama wewe unashindwa kujiridhisha kuwa mimi siongelei kilichobandikwa hapa tu, naongelea pattern ya post nyingi za hawa wanaharakati.
Kwani hakuna siasa za Utanganyika na Uzanzibari zilizowafanya hawa wanaharakati waanze kuwafanya kina Polepole, kina Nchimbi na sasa mpaka Mwigulu kuwa mashujaa wa kupigania Watanganyika wanaotaka kuuawa na Mzanzibari Samia?
Hujaona hiyo pattern?
Tatizo mnatafuta mashujaa bado.Mtu yoyote,hata Samia mwenyewe akianza kuipigania Tanganyika kesho na akaamua kudai katiba mpya na kukemea watu kuuawa na kutekwa,kwetu sisi ni shujaa.
Warioba alihusika kutunga katiba ya 1977 lakini Leo kwetu ni shujaa
Ajabu sana mkuu. Ukute tu hizi mambo zinatengenezwa sinema kama kawaida ili kuwapumbaza wasiowaza nje ya box. Ccm wanajua michezo ya kisiasa wakishachafuka tope humuibua mchafu mwenzao aonekane msafi mbele ya umma kisha wanaendeleza yale yale.Kwamba Mwigulu ni msafi kwasasa? Watanganyika ni watu rahisi sana kuwatawala
Nakuwatusi hadharani kuwa wahamie burundiRubbish...Huyu aliyeshabikia mauaji ya watanganyika...???
Kwani sisi ni kina nani?mi naona toka tuanze kuitana watanganyika ndo tunapotea zaidi