U'Magufuli' wa Mwigulu wawaibua Mange, Maria Sarungi na Kigogo

Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”

Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”

Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”

Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.

Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾

Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Hujui kutengeneza story
 
Hawa wanaharakati kina Mange Kimambi na Maria Sarungi wamejiingiza katika siasa za U Tanganyika na Uzanzibari kijinga kama mfa maji anayetapatapa, mpaka sasa wanawaona hawa waliowaita mafisadi wa CCM kuwa ndiyo wakombozi.

Ni ujinga gulani wa kujiondia akili.

Leo Mwigulu ndiye kawa mtu makini wa kumuona mkombozi kweli?

Mwigulu kabisa?
Mtu mzima kama wewe umeshindwa kujiridhisha kama kweli Mange na Maria wameandika haya? Huoni kama mwandishi huyu anafanya utoto.
 
Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”

Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”

Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”

Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.

Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾

Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Maria Sarungi hasingekuwa anajihusisha na harakati za kipumbavu, angekuwa bonge moja la demu.
 
Wale walinzi wake waliojazana na suti nyeusi wamemzunguka kazi yao ni nini km anaweza kulishwa sumu kirahisi hivyo? Basi naye aache kula hovyo hovyo, km vp atembee na chakula alichopikiwa na mke wake NEEMA. Magu walitaka kumwua akiwa tu waziri, washenzi wapo kule serikali tena wengine ni mawaziri kabisa. Kwa mfano waziri mzembe km Makame Mbarawa, Abdallah Ulega ambao hutakaa uwaone ktk msafara wake hawatakaa wampende.
Kuna mawaziri km hao niliowataja kinachowabeba ni uislam na uzanzibari si kingine. Mi binafsi namwombea Mwigulu afikie nafasi ya ukuu wa nchi hapo ndiyo tutaona makali yake halisi sahivi hana kauli ya mwisho amewekewa speed governor.
 
Mbona hii inaelekea kuwa kampeni ya kumsafisha kijanja na kumuandaa Mwigulu akubalike uchaguzi wa 2030.
Tusidanganyike sababu yeye pia ameamua kula meza moja na wachafu amejichafua.
Kibaya zaidi alijaribu kutetea mauwaji na kuwachafua wahanga waliouwawa October 29, 2025.
We will never forget our enemies, nor will we forgive their tyranny.
Tuambie uchafu wake uko wapi
 
Atabaki kuwa Raisi wa mawe tu ndugu yangu. Bila kuwa na katiba mpya inayoruhusu mgombea binafsi kwa political culture ya ccm sio kitu rahisi namna hiyo.
Atakuwa Rais wa nchi yetu na hata hayo mawe kwa kuwa ni rasilimali atayalinda yatumike vizuri
 
Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”

Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”

Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”

Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.

Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾

Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
 
Acha propaganda za bei ya jioni. Walichoandika Mange na Maria juu ya kadhia la Mwigulu kulishwa sumu ni tofauti kabisa na ulivyowakilisha hapa.

Wewe umegeuza maudhui yake kuyafanya mafuta ya marahamu ionekane Mwigulu anasimama kiutetezi kama Marehemu JPM. Akili hii haina tofauti na Mwigulu wa 2015 aliyeandika jina lake kwenye mawe ya njia nzima Singida-Mwanza na hakufika popote. Kama anataka tumuone ni mwenzetu kama JPM, asimame na shida na matakwa yetu
Jamaa ameamua kumwosha Waziri, alichoandika Mange sio hicho
 
Back
Top Bottom