U'Magufuli' wa Mwigulu wawaibua Mange, Maria Sarungi na Kigogo

Hujui kutengeneza story
 
Mtu mzima kama wewe umeshindwa kujiridhisha kama kweli Mange na Maria wameandika haya? Huoni kama mwandishi huyu anafanya utoto.
 
Maria Sarungi hasingekuwa anajihusisha na harakati za kipumbavu, angekuwa bonge moja la demu.
 
Wale walinzi wake waliojazana na suti nyeusi wamemzunguka kazi yao ni nini km anaweza kulishwa sumu kirahisi hivyo? Basi naye aache kula hovyo hovyo, km vp atembee na chakula alichopikiwa na mke wake NEEMA. Magu walitaka kumwua akiwa tu waziri, washenzi wapo kule serikali tena wengine ni mawaziri kabisa. Kwa mfano waziri mzembe km Makame Mbarawa, Abdallah Ulega ambao hutakaa uwaone ktk msafara wake hawatakaa wampende.
Kuna mawaziri km hao niliowataja kinachowabeba ni uislam na uzanzibari si kingine. Mi binafsi namwombea Mwigulu afikie nafasi ya ukuu wa nchi hapo ndiyo tutaona makali yake halisi sahivi hana kauli ya mwisho amewekewa speed governor.
 
Tuambie uchafu wake uko wapi
 
Atabaki kuwa Raisi wa mawe tu ndugu yangu. Bila kuwa na katiba mpya inayoruhusu mgombea binafsi kwa political culture ya ccm sio kitu rahisi namna hiyo.
Atakuwa Rais wa nchi yetu na hata hayo mawe kwa kuwa ni rasilimali atayalinda yatumike vizuri
 
Your browser is not able to display this video.
 
Jamaa ameamua kumwosha Waziri, alichoandika Mange sio hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…