RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Bahati mbaya mpaka utaingia kaburini bila kushuhudia kitu hiki kwasababu hakiwezi tokea kwa mfumo wa nchi hii labda katiba iwe na mgombea binafsi.Atakuwa Rais wa nchi yetu na hata hayo mawe kwa kuwa ni rasilimali atayalinda yatumike vizuri
Kama mama yakoWe ndiyo rubbish, tena kinyesi
Kama weweMleta Uzi ni mpumbavu
Mtu nzima kama wewe unashindwa kujiridhisha kuwa mimi siongelei kilichobandikwa hapa tu, naongelea pattern ya post nyingi za hawa wanaharakati.Mtu mzima kama wewe umeshindwa kujiridhisha kama kweli Mange na Maria wameandika haya? Huoni kama mwandishi huyu anafanya utoto.
Rubbish...Huyu aliyeshabikia mauaji ya watanganyika...???Mwigulu ndio Rais wa 2030 hilo halina mjadala wala kona kona.
Jamaa wapuuzi kabisa...Huyu mwigulu ni waziri Haramu kama alivyo huyo malaya samuya... Huyu mwigulu ndio aliyetetea na kuunga mkono mauji ya MO 29...Acha propaganda za bei ya jioni. Walichoandika Mange na Maria juu ya kadhia la Mwigulu kulishwa sumu ni tofauti kabisa na ulivyowakilisha hapa
Wacha yauwane sana tu. Mpaka yatakapoona umuhimu wa kurudisha siasa safikuelekea 2023 mi ccm watauana hovyo hovyo kama walivyofanya 2015.
wana
Mi hata sijaelewa maana ya hii post! Kwamba hawa wajinga watatu waliambiwa Mwigulu ndio atakuwa Rais 2030? Kwamba sasa wameambiwa hatakuwa? Ahahahahaha!Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Tatizo Watanzania wengi wanaridhika kirahisi sana.Mwigulu ndio Pete ya watanganyika kwasasasa, huko ground anakubalika kinoma noma
Wameshazoea siasa za majitaka. hakuna namna wanaweza kuacha hiyo michezo labda itokee wakati mmoja pawe na kiongozi mtemi na mbabe kama John Magufuli atakayeamrisha kufanyika kwa mabadiliko ya kimfumo ya lazima ili kukinusuru chama maana siku zinavyozidi kwenda Chama na wanachama kuanzia Mwenyekiti wao wanajiendea kama gari bovu.Wacha yauwane sana tu. Mpaka yatakapoona umuhimu wa kurudisha siasa safi
We are not as cheap as you think.Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
SISIEMU hakuna wa afadhali ,wote WEZI.Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.”
Kadhalika, Maria Sarungi anaandika: “Hukuwatetea Watanganyika, haya sasa umegeukwa. Taarifa za ndani zinathibitisha wamekugeuka na wametafuta mtu wao ambaye wanashirikiana naye, watakayekwenda naye 2030 na atakayelinda maslahi yao. Ulikuwa unajifanya wewe ndiye Magufuli mpya, ukatubagaza.”
Naye Kigogo anaandika: “Ndugu yangu, huu Umagufuli wako wanautaka? Umeonekana Magufuli kabisa, watakubali kukupitisha?”
Kama Mtanzania, haya yamenishtua sana. Kwa kweli, Dkt. Mwigulu anaonekana zaidi na zaidi kama ‘Magufuli mpya’—kiongozi mwenye msimamo, anayegusa maisha ya watu wa kawaida na ambaye anaonekana kupata mvuto mkubwa kwa wananchi.
Mungu amlinde dhidi ya kila baya, ajali na madhara yoyote. 🤲🏾
Sisi wanyonge tunamshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi huyu mpya. Kama kweli tunatafuta sura mpya yenye msimamo, uthubutu na ukaribu na wananchi, basi huyu ndiye Dkt. Mwigulu tunayeendelea kumuona.
Walishajua bei wa kuwanunua wabongo wanachofanya ni ku'bid tuu na propaganda zao za kibigG bigGKwamba Mwigulu ni msafi kwasasa? Watanganyika ni watu rahisi sana kuwatawala
HakikaAll is rubbish