U'Magufuli' wa Mwigulu wawaibua Mange, Maria Sarungi na Kigogo

Ilifutwaje kwenye simu yako
 
Nimeshapigwa sana mkwara
Na jumbe za vitisho…
Ila siamini huu msafara
Ni vibaraka wa Mrisho……
 
Mtoa thread ndo mwigulu mwenyewe. Umeandika kama mpinzani ilihali ni walewale mashoga ya lumumba.
 
Nachojua hao wanaharakati kila mtu ana bei wakifika wanapindua meza vizuri tu zaidi Mange na Sarungi walau kigogo anonymous hataki ujiko wa kuonekana.
 
Magufuli asifananishwe na huyo Muigizaji!

Halafu anataka afananishwe pia na Nyerere kwa kujichongea hicho Mumstachi
 
Sisi tuko huku BURUNDI yeye lolote limpate tu.
 
Hivi sifa binafsi (quality & qualifications) za mtu kuwa waziri mkuu ni zipi ukiacha ya lazima awe mbunge wa kuchaguliwa.
 
Mtu yoyote,hata Samia mwenyewe akianza kuipigania Tanganyika kesho na akaamua kudai katiba mpya na kukemea watu kuuawa na kutekwa,kwetu sisi ni shujaa.
Warioba alihusika kutunga katiba ya 1977 lakini Leo kwetu ni shujaa
 
Mtu yoyote,hata Samia mwenyewe akianza kuipigania Tanganyika kesho na akaamua kudai katiba mpya na kukemea watu kuuawa na kutekwa,kwetu sisi ni shujaa.
Warioba alihusika kutunga katiba ya 1977 lakini Leo kwetu ni shujaa
Tatizo mnatafuta mashujaa bado.

How quaint.
 
Kwamba Mwigulu ni msafi kwasasa? Watanganyika ni watu rahisi sana kuwatawala
Ajabu sana mkuu. Ukute tu hizi mambo zinatengenezwa sinema kama kawaida ili kuwapumbaza wasiowaza nje ya box. Ccm wanajua michezo ya kisiasa wakishachafuka tope humuibua mchafu mwenzao aonekane msafi mbele ya umma kisha wanaendeleza yale yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…