pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Koma sava wanajukwa, siku ya alhamisi wakati watuhumiwa wa kesi ya binti wa yombo wakitoka mahakamani vyombo mbalimbali vya habari vilionyesha namna watuhimiwa wanavyorudishwa mahabusu.
Mtuhumiwa maarufu kwenye shauri hilio "nyundo" pamoja na kuwa na pingu mkono wake wa kulia Ambayo alifungwa na mwenzie aliweza kuonyesha umahiri wake wa kuruka pamoja na ufupi alionao, kwa kutumia mkono wa kushoto aliweza kushiika bomba la juu la kwenye gari na kuingia moja kwa moja kwenye gari ya polisi aina ya land cruiser...tukio hili limekuwa gumzo na binafsi nimelisikia sehemu tofauti likijadiliwa...siyo vibaya Kama kuna mtu anayo video hiyo akatukumbusha.....thread tayari