Umahiri wa "nyundo" kurikia karadinga wawa gumzo mitaani

Umahiri wa "nyundo" kurikia karadinga wawa gumzo mitaani

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
282
Reaction score
561
Koma sava wanajukwa, siku ya alhamisi wakati watuhumiwa wa kesi ya binti wa yombo wakitoka mahakamani vyombo mbalimbali vya habari vilionyesha namna watuhimiwa wanavyorudishwa mahabusu.
Mtuhumiwa maarufu kwenye shauri hilio "nyundo" pamoja na kuwa na pingu mkono wake wa kulia Ambayo alifungwa na mwenzie aliweza kuonyesha umahiri wake wa kuruka pamoja na ufupi alionao, kwa kutumia mkono wa kushoto aliweza kushiika bomba la juu la kwenye gari na kuingia moja kwa moja kwenye gari ya polisi aina ya land cruiser...tukio hili limekuwa gumzo na binafsi nimelisikia sehemu tofauti likijadiliwa...siyo vibaya Kama kuna mtu anayo video hiyo akatukumbusha.....thread tayari
 
Yule kweli ni mjeda, japo kifupi vile, ila kilirukia defender kimasta mnoo, hadi niliduwaaa, baadae nilicheka hataree.
Nyundo ana balaa lake mjinii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna muda nawaza labda hii kesi imekuja ili kuzuia uwezekano wa aijipii ajaye kuwa mwanamke. Nongwa huwa zinaanzia mbali sana kwa wasoma ramani huko.

Ila hawa jamaa wanatoboa hii kesi mwenye mzigo ni msambaza picha chafu hapo maana hilo ndio kosa pekee linaloweza dhibitishwa pasi na shaka.

Ni swala la muda tu.
 
Sasa naamini Maneno ya kaka Ruge.
Wa Kwanza kumuogopa Mungu.Kisha Technology...

Hii michezo ya kupiga madem mtungo zamani ilikuwa kawaida sanaaa....
Nikikumbuka Sec mbali nlizo wahi soma nlishuhudia Sana madem wakiliwa mtungo...lakini kutokana na ufinyu wa Technology maisha yalikuwa Safi sanaaaaa...

Lakini sasa jichanganye upotee mtaani.
 
Sasa naamini Maneno ya kaka Ruge.
Wa Kwanza kumuogopa Mungu.Kisha Technology...

Hii michezo ya kupiga madem mtungo zamani ilikuwa kawaida sanaaa....
Nikikumbuka Sec mbali nlizo wahi soma nlishuhudia Sana madem wakiliwa mtungo...lakini kutokana na ufinyu wa Technology maisha yalikuwa Safi sanaaaaa...

Lakini sasa jichanganye upotee mtaani.
Kabisa mademu wengi wamefanyiwa uhuni ila aikujulikana kutokana na technology ilikuwa amna saiv jichanganye upotee.
 
Back
Top Bottom